MAFURIKO

MAFURIKO смотреть последние обновления за сегодня на .

Mvua kubwa yasababisha mafuriko katika kaunti ya Kajiado

41597
167
20
00:02:26
19.11.2022

#Trending #KTNNews #livestream #ktnprime KTN News Live ~ Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7 Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

BOMBY JOHNSON - MAFURIKO Official Video

3265
109
53
00:13:50
15.09.2022

#Mafuriko 🤍bombyjohnson #worshipsongs2022 #tanzaniagospel MAFURIKO LYRICS. SWAHILI: ENGLISH TRANSLATION Mafuriko mafuriko nipeleke katika vilindi, overflow, overflow take me into the depth uweponi mwa MUNGU. in God`s presence nimfanyie ibada isiyokuwa na mwisho so I can do an endless worship Wastahili heshima zote You are worthy of all honor na utukufu daima milele yote, nd glory forever and ever mtakatifu wa watakatifu, holy of holies tunatetemeka mbele zako Bwana, we tremble before you Lord utukufu wako ni mkuu sana. your glory is soo great Nipeleke uweponi mwako, Take me into your presence nizamishe vilindini mwako, Immerse me in your depth

Mafuriko Narok: Watu wengi waathirika pakubwa

7773
6
4
00:01:24
26.11.2017

Mafuriko Narok: Watu wengi waathirika pakubwa SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Frana per maltempo a Ischia, il disastro annunciato dell'"isola fragile" #shorts

28062
381
41
00:01:00
26.11.2022

La frana che oggi si è abbattuta sul Comune di Casamicciola Terme (Ischia) è un disastro annunciato: l'area era già stata colpita da un'alluvione nel 2009 e da un terremoto nel 2017. Il geologo Antonello Fiore a Fanpage.it: "Se una zona non si può sanare bisogna spostarsi". - COLLEGATI ALLA HOME PAGE: 🤍 - ISCRIVITI AL CANALE: 🤍

Mafuriko ya Durban: 'Sina nyumba, sina chochote'

2622
4
0
00:01:33
14.04.2022

Idadi ya waliofariki katika jimbo la KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini imefikia zaidi ya 300 baada ya mafuriko yaliyosababisha uharibifu mkubwa katika eneo hilo kutokea. Wafanyakazi wa kujitolea huko Durban wanasaidia kuondoa uchafu na mabaki na pia kutafuta watu ambao wanaweza kuwa wamenasa. Maporomoko ya udongo yamefukia watu chini ya majengo, huku mafuriko zaidi yakitarajiwa. BBC imezungumza na mchungaji katika eneo hilo ambaye alishuhudia lori likitoa mwili kutoka kwenye mabaki hayo. #bbcswahili #a#afrikakusini #durban

UN: Mamilioni ya watoto na wanawake wako hatarini Pakistan kutokana na mafuriko

390
5
0
00:02:23
01.09.2022

Watu walioathirika na mafuriko nchini Pakistan wametafuta hifadhi chini ya mahema ya muda, pamoja na mali zao na mifugo. Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia watoto, UNICEF, limesema mamilioni ya watoto na wanawake wajawazito walioko katika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko nchini humo wako katika hatari na wanahitaji msaada wa dharura wa kibinadamu

Majanga ya mafuriko Kenya

12026
27
0
00:01:26
08.05.2018

Mvua kubwa ambayo imekuwa ikinyesha nchini Kenya tangu mwezi Machi imesababisha maafa mengi na kuwaacha maelfu bila makazi. Inahofiwa kuwa huenda watu 100 wamefariki kutokana na mafuriko hayo. Zaidi ya watu 200,000 hawana pa kuishi baada ya makaazi yao kusombwa na mafuriko.

Misaada yaanza kuwasili kwa wahanga wa mafuriko Pakistan

288
3
0
00:01:04
29.08.2022

Mamlaka ya taifa inayoshughulikia maafa nchini Pakistan imeripoti kuwa idadi ya watu waliofariki tangu kuanza kwa msimu wa mvua za masika katikati ya mwezi Juni imefikia watu 1,061. Pakistan imekumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa huku mamlaka nchini humo zikitaja msimu wa mvua za masika kuwa janga kubwa la kimazingira.#kurunzi

Mafuriko yawaua watu 8 Tanzania

568758
00:02:28
09.05.2015

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Tanzania zimesababisha vifo vya watu wasiopungua wanane

Mawakili kutoka Kenya waishtaki Uganda kwa mafuriko ya Ziwa Viktoria

2807
23
4
00:02:22
30.05.2020

Mawakili watano kutoka humu nchini sasa wamewasilisha kesi katika mahakama ya jumuia ya Afrika Mashariki, wakiitaka nchi ya Uganda kuwafidia waathriwa wa mkasa wa mafuriko yaliyosababishwa na kufura kwa ziwa Victoria.Katika kesi, mawakili hao wanahoji kuwa utepetevu katika operesheni ya kufungulia bwawa la Nalubaale mjini Jinja, ndio chanzo cha madhila ya maelfu ya wakaazi wanaoishi ufuoni mwa ziwa victoria.

‘Sijalala, sijala kwa sababu sijui kama mpwa wangu yuko huko’- mafuriko Venezuela

909
7
0
00:01:55
16.10.2022

Makumi ya watu hawajulikani walipo na wengine wengi wamethibitishwa kufariki baada ya mito mitano katikati mwa Venezuela kufurika kutokana na mvua kubwa inayonyesha. Maporomoko mabaya ya ardhi yamesomba nyumba katika jiji la Las Tejerias, kusini mwa mji mkuu Caracas. Makamu wa Rais wa Venezuela Delcy Rodriguez anasema mvua ya kiwango cha mwezi mmoja ilinyesha katika muda wa saa nane na pampu zinazotumika kuwasha mfumo wa maji ya kunywa ya umma zilisombwa na mafuriko hayo. #bbcswahili #venezuela #mvua

Watu wanne wamefariki kwenye mafuriko katika eneo la Kitui

13329
37
9
00:02:08
17.10.2019

Watu wanne wamefariki na wengine wawili kunusurika huko Kitui baada ya gari walilokuwa wameabiri kusombwa na mafuriko katika barabara ya Kitui kuelekea Matinyani. Wakati huo huo familia mia tano kutoka kaunti ndogo za Teso Kusini na Teso Kaskazini zimeathirika na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayozidi kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini.

#DL Watu 12 wafariki katika mafuriko nchini Kenya

2419
18
0
00:01:06
22.04.2020

Mafuriko yanayoendelea nchini Kenya yamesababisha vifo vya watu 12 na uharibifu mkubwa wa miundombinu nchini. #kenya #mafuriko #corona

Mafuriko: Athari za mvua katika kaunti za Marsabit, Wajir na Mandera

1991
3
1
00:02:17
15.10.2019

Mafuriko: Athari za mvua katika kaunti za Marsabit, Wajir na Mandera Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya #NTVToday #NTV #NTVNews

MSIBA MZITO! WATU 180 WAFARIKI KWENYE MAFURIKO, WATOTO WAKIWEMO, UNICEF WATOA TAMKO..

1421
12
1
00:02:30
27.08.2022

MSIBA MZITO! WATU 180 WAFARIKI KWENYE MAFURIKO, WATOTO WAKIWEMO, UNICEF WATOA TAMKO.. Zaidi ya watu 180 wamefariki dunia kutokana na mvua kubwa kunyesha iliyosababisha mafuriko nchini Afghanistan. Kundi la Taliban limetoa taarifa hiyo na kueleza kuwa raia wa nchi hiyo wanaomba msaada kwa jumuiya ya kimataifa ili kukabiliana na hali hiyo. Mafuriko hayo yamesababisha uharibifu mkubwa katikati ya nchi na katika mikoa iliyopo Mashariki mwa nchi hiyo na kuzidisha mgogoro wa kibinaadamu na mdororo wa kiuchumi. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto (UNICEF), lisema kuwa takribani watoto nane walifariki dunia kutokana na mafuriko yaliyotokea wiki hii. Shirika hilo limeeleza kuwa kutokana na mvua hizo zilizonyesha zinaweza kusababisha idadi ya watu waliofariki dunia ikaongezeka. Taarifa inaeleza kuwa Afghanistan imekuwa ikikumbwa na matukio kadhaa ya majanga ya asili ikiwemo ukame na tetemeko la ardhi ambalo Juni, mwaka huu liliwaua zaidi ya watu 1,000. Imeandaliwa na Sanifa Khalifa kwa msaada wa mtandao ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Mafuriko Mombasa

3148
7
0
00:01:28
24.03.2015

Zaidi ya familia 60 mjini Mombasa zimeachwa bila makao baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko. Wakazi hao kutoka maeneo ya kisimani na ziwa la ngombe sasa wanahofia mchipuko wa maradhi ya kipindupindu kufuatia mabomba ya maji taka pia kufurika.

Mafuriko yauwa takribani watu 50 Marekani

396
2
0
00:01:10
03.09.2021

Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na kimbunga Ida, imeongezeka na kukaribia takaribani watu 50. #Kurunzi

MAFURIKO BRAZIL NI JANGA KWA WANANCHI

354
0
0
00:01:28
30.12.2021

- - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Mafuriko yashuhudiwa Kaskazini mwa Kenya kufuatia mvua kubwa

4275
27
11
00:01:30
08.10.2019

Watu wawili wameuwawa na wengine wapatao elfu moja wamepoteza makao na mifugo kaskazini mwa Kenya baada ya mvua iliyosababisha mafuriko kuwaletea dhiki. Mwakilishi wodi ya Golbol huko Marsabit anasema, zaidi ya familia 200 zimeathirika.

Baringo Kusini: Ng'ombe 80 wauawa baada kusombwa na mafuriko

2077
15
1
00:02:33
18.04.2022

Wakazi kutoka eno la IIng'arua, Baringo Kusini wanakadiria hasara baada ya mafuriko kuwauwa takriban ng’ombe themanini kufuatia mvua kubwa iliyonyesha maeneo ya juu ya kaunti hiyo. Isitoshe, hali ya usafiri umesitishwa katika eneo hilo baada ya daraja kubomoka kutokana na mafuriko hayo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Mafuriko yasababisha maafa na kutatiza Mawasiliano kaunti ya Tana River

261
1
0
00:01:36
28.11.2019

Mafuriko yasababisha maafa na kutatiza Mawasiliano kaunti ya Tana River #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Watu wanne wamefariki kwenye mafuriko katika Kaunti ya Kitui

20079
47
12
00:02:30
17.10.2019

Watu wanne wameangamia kwenye mafuriko na wengine wawili kunusurika baada ya gari walilokuwa ndani kusombwa na mafuriko katika Kaunti ya Kitui. Aidha maeneo mengi nchini kama vile Lunga Lunga, Lamu na Garissa , uchukuzi umetatizwa na wakazi wengine wamelizamika Kuhama nyumba zao huku mafuriko yakiendelea Kuwa Kero.

Penyebab Banjir Bandang di Jeddah Arab Saudi yang Menewaskan 2 Orang #Shorts

27344
411
49
00:00:57
25.11.2022

Penyebab Banjir Bandang di Jeddah Arab Saudi yang Menewaskan 2 Orang Kota pesisir Jeddah, Arab Saudi, diterjang banjir bandang pada Kamis (24/11/2022) waktu setempat. Dilansir dari Middle East Eye, setidaknya dua orang tewas akibat banjir bandang di Kota Jeddah. Penyebab banjir bandang di Jeddah, Arab Saudi diduga akibat tingginya curah hujan. Juru bicara pertahanan sipil Saudi di provinsi Mekkah mengumumkan korban tewas banjir Jeddah di Twitter dan mendesak warga untuk tetap berada di dalam rumah kecuali untuk keperluan mendesak. Sumber: Kompas.com Editor video : Bhayu Ramanditya Narator : Prisca Ruri Editor Naskah : Rina Eviana Dewi Produser : Ribut Raharjo (bhy) #tribunjogjaofficial #banjirjeddah #banjirbandangjeddah #jeddah

Mafuriko Sudan

977
16
0
00:02:22
10.08.2021

Maelfu ya Nyumba zimeharibiwa nchini Sudan baada ya mvua kubwa kusababisha mafuriko mabaya, huku mitaa mingi katika mji mkuu Khartoum ikiwa imejaa maji. Mvua kubwa kwa kawaida hunyesha nchini Sudan kuanzia mwezi June hadi October, na nchi inakabiliwa na mafuriko makubwa sana kila mwaka, mali zinaharibiwa pamoja na miundo mbinu na mazao.

UNMISS yasaidia kuondoa maji ya Mafuriko Bentiu Sudan Kusini

321
3
0
00:02:09
16.08.2022

Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS wanafanya kazi ya kuondoa maji ya mafuriko yaliyotwama katika eneo kubwa la mji wa Bentiu jimbo la UNITY ili kuhakikisha uwanja wa ndege na barabara zinazopatakana na uwanja huo zinapitika.

Zaidi ya yatu 160 waripotiwa kufariki kutokana na mafuriko nchini

709
2
2
00:03:40
05.05.2020

Zaidi ya watu 160 wameripotiwa kufariki huku zaidi ya familia 100,000 kuachwa bila makao kutokana mafuriko yanayoendelea katika sehemu tofauti nchini. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

51 wafa kwa mafuriko Afrika Kusini

797
3
0
00:00:56
24.04.2019

Takribani watu 51 wamekufa kwa mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha kwa mfululizo katika maeneo mengi ya nchini Afrika Kusini. Kurunzi 24.04.2019

Ini Penyebab Banjir Bandang di Jeddah, Arab Saudi yang Menewaskan 2 Orang

31155
368
8
00:00:58
25.11.2022

SERAMBINEWS.COM - Dikabarkan Kota pesisir Jeddah, Arab Saudi, telah diterjang banjir bandang pada Kamis (24/11/2022) waktu setempat. Dikutip dari Middle East Eye, setidaknya dua orang tewas akibat banjir bandang di Kota Jeddah. Saat ini penyebab banjir bandang di Jeddah, Arab Saudi diduga akibat tingginya curah hujan. Selengkapnya: 🤍 VO: Siti Masyithah Video Editor: Teuku Raja Maulana #banjir #jeddah #arabsaudi #banjirbandang #bencana Baca Selengkapnya: 🤍 Syedara Lon, jangan lupa SUBSCRIBE, SHARE, and COMMENT. Update video viral lainnya: 🤍 Update berita terpopuler lainnya: 🤍 Update info terkini via Serambinews.com: 🤍 Follow akun Instagram 🤍 Follow akun Twitter 🤍 Follow dan like fanpage Facebook 🤍 Follow akun TikTok 🤍

Mafuriko yaua 15 Japan

896
5
1
00:01:17
04.07.2020

Watu kumi na Watano wanaaminika kuwa wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kwenye kisiwa cha Kyushu nchini Japan. #Mafuriko #AzamTVUpdates Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Familia 8 zanusurika kusombwa na mafuriko Bomet

8258
10
1
00:02:40
11.12.2019

Hofu imegubika maeneo yaliyo karibu na mto Ewaso Nyiro uliovunja kingo zake huku hoteli tano katika maeneo ya Samburu na Isiolo zikisombwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa inayonyesha. Aidha Familia nane katika kaunti ya Bomet nusra zisombwe na mafuriko baada ya mto Nyangores pia kuvunja kingo zake. Matukio haya ni miongoni mwa yale ya punde zaidi kwenye matukio ya mafuriko yanayoendelea kusababisha hasara maeneo mbalimbali nchini.

Athari ya mafuriko nchini: Wakazi Nyatike watatizika na mafuriko

648
3
2
00:01:51
22.10.2019

Mwanamke aliyesombwa na mafuriko Mbeere Kusini kaunti ya Embu angali anatafutwa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya #NTVToday #NTV #NTVNews

الأمطار والسيول والشوارع

41672
2228
36
00:00:53
24.11.2022

#shorts #السعودية #جدة

LIVE: Mvua Yasababisha Mafuriko Makubwa Dar, Mmoja Afariki Jangwani

784889
1917
277
00:36:09
08.03.2017

MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha mafuriko makubwa katika Bonde la Mto Msimbazi, maeneo ya Daraja la Kigogo Wilaya ya Ilala, Jangwani, Vingunguti na maeneo mengine ambayo Mto Msimbazi unapita. Mpaka sasa, mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha eneo la Jangwani. Aliyefariki ametambulika kwa jina moja la Imma na inaelezwa kwamba alikuwa akijishughulisha na kazi ya kuokota chupa tupu za plastiki. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, linaendelea na kazi yake ya uokoaji na bado maji yanaendelea kuja kwa kasi kutokea maeneo mbaimbali yaliyopata mvua kubwa kuanzia majira ya usiku. MAFURIKO, VIFO, JANGWANI, MVUA KUBWA, DAR

Jumla ya watu watano wamefariki kufuatia mafuriko nchini

4415
22
4
00:02:33
18.04.2022

Watu wawili wa familia moja wamefariki baada ya kupigwa radi Hii ni kufuatia mvua inayoendelea kunyesha kaunti ya Bungoma Wakazi wa kaunti ya Baringo wapoteza zaidi ya mifugo 80 Mifugo hao waangamia baada ya kusombwa na mafuriko

Watu kumi na tatu wafariki huku 9 wangali hawajapatikana kufuatia mafuriko Narok

497
1
1
00:03:58
29.04.2015

Watu kumi na tatu wafariki huku 9 wangali hawajapatikana kufuatia mafuriko Narok. Watch KTN Live 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Brisexy Briana ft Sadi Baba by Mafuriko Director by Doris Kayembe and Ceda HD

114057
2183
162
00:03:58
03.05.2020

Wimbo MAFURIKO, ni historia ya kweli; hili janga limetokea UVIRA tariki 17/04/2020 hadi sasa bado tunaishi katika janga hili, Msaada ni Mungu baba pekee

Penyebab Banjir Bandang di Jeddah Arab Saudi yang Tewaskan Dua Warga, Puluhan Mobil Hanyut

41710
588
56
00:00:57
25.11.2022

Kota pesisir Jeddah, Arab Saudi, diterjang banjir bandang pada Kamis (24/11/2022) waktu setempat. Dilansir dari Middle East Eye, setidaknya dua orang tewas akibat banjir bandang di Kota Jeddah. Penyebab banjir bandang di Jeddah, Arab Saudi diduga akibat tingginya curah hujan. #jeddah #jeddahbanjir #arabsaudi Tribun Sumsel/Eli Baca berita di - 🤍 Follow Instagram - 🤍 Like fanspage - 🤍

Mafuriko yazidi Tana River

1051
2
0
00:02:21
02.11.2019

Licha ya Elimu ya msingi kutolewa bure na serikali ,imebainika katika kaunti ya Turkana sehemu za mpakani wa Kenya na Uganda watoto hawaendi shuleni kwa sababu ya ukosefu wa asasi hizo muhimu. na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, katika kijiji cha Nakitongo ambacho kiko na watu zaidi ya elfu moja hakina shule na mama moja aliyeacha kusoma alipofika darasa la kwanza miaka ya sitini, amejitwika jukumu la kuwafunza watoto elimu rasmi..

Athari za mafuriko nchini Kenya

356
0
0
00:02:27
02.04.2013

Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on 🤍 Mvua kubwa ambayo inaendelea kunyesha kote nchini imesababisha madhara makuu ikiwemo kusombwa kwa daraja moja katika eneo la suswa na hivyo basi kutatiza shughuli za usafiri katika eneo hilo

MAFURIKO YASOMBA NYUMBA 200+ KYELA, WATU WAOKOLEWA Kwa MIGOMBA, BIBI AANGUA KILIO!

3754
29
14
00:06:59
02.05.2022

MAFURIKO YASOMBA NYUMBA 200+ KYELA, WATU WAOKOLEWA Kwa MIGOMBA, BIBI AANGUA KILIO! WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Назад
Что ищут прямо сейчас на
MAFURIKO fehlerspeicher drekë Страшная история imo call user levels imo recorder pul siz biznes boshlash omföderska lexus lfa drag race HACKs Nienburg Programming Arduino RAYXON ASADOVA mick apache pdfbox example imo videos Jonas Van Geel billie Eilish Совершил большую ошибку