Millady Ayo

Millady Ayo смотреть последние обновления за сегодня на .

ASIMULIA ALIVYOKAA JELA MIAKA 9 KISA MAUAJI “NILIMUAZIMA GHETTO RAFIKI YANGU AKAMUUA MPENZI WAKE"

165295
1758
736
00:42:01
16.08.2022

Leo nakukutanisha na Tumaini Mabula Kijana mwenye umri wa miaka 32 ambaye kiasili ni Mzaliwa wa Simiyu na alikuja Dar es salaam kutafuta maisha tu, mwaka 2013 alikutana na majanga yaliyomfanya aishie kukaa mahabusu kwa miak tisa na ametoka mwaka huu. Mwezi February 2013 akiwa anaishi Mwananyamala aliazimwa gheto na Rafiki yake ili apumzike na Mpenzi wake , Tumaini akaondoka kwenda Kariakoo alikokuwa anafanya shughul8 za kujitatutia kipato na kuwaacha wawili hap ndani kwae, aliporudi Jioni alimkuta Mwanamke yule Mpenzi wa Rafiki yake akiwa amefariki, wakati huo Rafiki yake tayari alikuwa ameshatoroka na tangu hapo mzigo wa kesi ya mauaji ukamuangukia Tumaini.. Kwa sasa ametoka Mahabusu na hana msaada wowote, hana pa kulala, hana kazi na hana Ndugu wa kumsaidia, amekuja mbele ya Watanzania kuomba support, Tunae Tumaini kwenye Exclusive interview na anasimulia mkasa wake wote kwa urefu, namba za kumsaidia ni 0688580756 Abilahi Abdallah

IMENISHTUA SANA FREDWAA NI BROTHER: MILLAD AYO

66
4
0
00:01:38
14.06.2021

Leo Kanisani katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji bora wa muda wote kutoka Clouds

LIVE: EXCLUSIVE INTERVIEW NANDY NA MILLARD AYO, NANDY AFUNGUKA

83667
1429
119
01:13:16
05.08.2022

Nandy is a top Tanzanian female artist. She was selected to represent Coke Studio Africa 2017, where she did a remarkable performance with the Ethiopian Betty G and though a new comer at Coke Studio, got an opportunity to be upgraded to the high profile artists. Nandy in November made Tanzania proud after being nominated and winning the Best Female on the East Africa category in the all Africa Music Awards (AFRIMMA). This was the first major award for this upcoming artist. This opened up doors for her National recognition and Corporate Endoresment by signing for products by TradeKings, ENLAIR POPS and also signing as an Ambassador alongside Aslay for the National Sanitation and Hygiene campaign ( USICHUKULIE POA, NYUMBA NI CHOO) She has currently the Number 1 song on Clouds FM for Four weeks in a row for her hit song Kivuruge and hopefully will get the recognition that all artists strive for “JIWE LA MWEZI” that is awarded for songs that have surpassed a Million viewers on YOU TUBE but have held the charts the longest. Connect with on 🤍 🤍 🤍

HandyTz#news# wasafi tv millady Ayo tv

22
1
0
00:02:19
28.06.2020

HIZI NDIZO MILA ZA KIGOGO TAZAMA KWA MAKINI PLS SUBRISCE SHARE LIKE AND COMMENT

Milard Ayo kufunga ndoa jana/harusi ilizua mtiti mkubwa ndio mana hajapost cc:source original east.

2920
13
1
00:02:12
17.12.2021

ayo tv. habari . udaku wa mastaa .udaku wa leo . #millardayo #habari #cloudstv

Akothee: Kuanzia Udereva Taxi mpaka muziki na kolabo na Diamond Platnumz

268133
1937
238
00:20:45
20.02.2016

Akothee ni mwimbaji kutoka Kenya ambaye ameanza kupita mbele ya macho ya Watanzania kutokana na wimbo aliomshirikisha Diamond, Akothee alikuja Tanzania na kufanya hii Interview na Mtangazaji Millard Ayo.

penzi jipyaaaa #millad ayo

267
1
0
00:00:29
03.08.2021

Gigimoney alia na Basata sorce Milard Ayo

52
1
0
00:00:59
08.01.2018

🤍Udaku 🤍umbea 🤍newz 🤍shilawadu

EXCLUSIVE: BILNASS NA NANDY WASIMULIA WALIVYOANZA MAPENZI 'SIKU HIYO TULIACHA WAZI MLANGO WA CHUMBA'

1064730
10296
1458
00:55:18
30.08.2019

#ONAIRWITHMILLARDAYO#NANDY#BILLNAS#BUGANA HII NI PART ONE YA INTERVIEW YAO KWENYE ON AIR WITH MILLARD AYO, PART TWO INAKUJA....

Kumbe Millard Ayo ndo shuhuda wa Tanzania (ndaro)

39890
940
44
00:08:44
29.01.2022

Kumbe Millard Ayo ndo shuhuda wa Tanzania (ndaro)

milard ayo

7
0
0
00:00:10
16.06.2019

#rayvanny

WAJACKOYAH: BANGI GUNIA NI DOLA MIL.3 ,LA MAHARAGE NI ELFU6, NIKIWA RAIS TUTAIOTESHA HADI BARABARANI

562426
5627
1496
00:58:48
19.06.2022

Hii ni Exclusive Interview na Mgombea Urais wa Kenya kwenye uchaguzi Mkuu wa August 2022 Profesa Wajackoyah ambaye sera zake zimewafurahisha wengi na kumfanya awe gumzo ambapo anataka kuhalalisha bangi na ioteshwe mpaka barabarani. Kingine atachofanya iwapo atashinda urais ni kusimamisha katiba kwa miezi sita, Watu watakuwa wakifanya kazi siku nne za wiki pekee, na pia atavuta bangi IKULU na BUNGENI siku ya kuapishwa kwake ili kufukuza mashetani ya rushwa na ufisadi, fuatilia Interview hii na utacheka, uta-enjoy na kujifunza.

EXCLUSIVE: MTANZANIA ALIYESHINDA BILIONI YA SPORTPESA AFUNGUKA, WEZI WAMVAMIA, ATAJA MIPANGO YAKE

61581
752
181
01:09:33
03.08.2022

Sio ndoto inayowatokea wengi, sio ndoto rahisi kumtokea yoyote lakini imetokea kwa Florian Massawe, Kijana wa Kitanzania Fundi Malori ambaye alishinda Shilingi BILIONI 1 za SportPesa hivi karibuni na sasa maisha yake yamebadilika ambapo amekaa kwenye EXCLUSIVE na Millard Ayo na kueleza mengi. Florian amesimulia jinsi Wezi walivyovamia nyumbani kwake baada ya ushindi huo, mipango ya hiyo bilioni moja, jinsi alivyohangaika kuhama nyumbani baada ya Wezi kuvamia nyumbani kwake, mipango yake na kitu anachotaka kufanya pamoja na mengine mengi kwenye video hii.

NAMPENDA SANA JOKETT, MILLAD AYO

57
10
1
00:03:37
13.01.2019

Milard ayo Tv

73
2
0
00:11:54
28.09.2019

T.I.D:TATIZO FINISHING NDIO SINA/MADEMU WANANIELEWA @milard ayo @wasafi media

256
4
8
00:00:22
30.01.2021

T.I.D anadai kuwa tatizo lake linalomfanya kushindwa kuwa na mademu wengi ni kutokana na kushindwa kufanya finishing kwa wasichana...😂😂😂

Назад
Что ищут прямо сейчас на
Millady Ayo гивы sam bombero какой дробью стрелять тетерева 논어 پرستو owen warzone bully brookhaven Maybach Sammler ohio news Lüning Nicholas Selby опал gach block arma 3 місія jaloliddin ahmadaliyev janonima Rebell Army esigara ragnarokonline Windows Drivers