NBCpl

NBCpl смотреть последние обновления за сегодня на .

NBCPL STAR | Aucho afunguka safari yake ya soka, aikumbuka mechi ya Coastal Union

41214
536
49
00:18:14
03.08.2022

Kiungo wa Yanga SC, Khalidi Aucho ametaja timu alizopitia katika safari yake ya soka, azungumzia msimu uliopita na kuikumbuka mechi ya fainali ya Azam Sports Federtion Cup ambayo ilipigwa Julai 2, 2022 dimbani Sheikh Amri Abeid dhidi ya Coastal Union

NBCPL STAR | Kichuya afunguka sakata jezi ya Mayele

8587
64
4
00:17:03
03.08.2022

Nyota wa Namungo FC, Shiza Ramadhan Kichuya amefunguka njia alizopitapita katika safari yake ya soka huku akifunguka kuhusu sakata la kuhusishwa na jezi ya Fiston Mayele

NBCPL STAR | Chama afunguka familia yao kujaa vipaji vya soka, amzungumzia Phili

22478
284
29
00:19:10
02.08.2022

Kiungo wa Simba SC, Clatous Chota Chama amefunguka namna familia yao ilivyojaaliwa vipaji vya soka na kusema kuwa weledi huo umeanza kwa baba yake. Chama pia amemzungumzia Mzambia mwenzake Moses Phiri ambaye kwa sasa amejiunga na wekundu hao wa Msimbazi.

NBCPL STAR | Tepsie wa Azam FC afunguka alivyochimbukia, amtaja Nado

2705
43
3
00:10:56
30.07.2022

Nyota wa Azam FC, Tepsie Evance ameutaja mkoa wa Morogoro kuwa ndio sehemu alikoibukia kwenye soka na kupitia hatua mbalimbali kabla ya kutua Azam FC. Tepsie pia ameelezea namna anavyomkubali mchezaji mwenzake Iddi Selemani Nado na kusema kuwa anamfuatilia sana.

NBCPL STAR : Kapombe aikumbuka mechi dhidi ya Azam FC kwenye NBC Premier League

79454
705
49
00:17:03
22.07.2022

Beki wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe ameitaja mechi dhidi ya Azam FC dimbani Azam Complex ya kwamba imebaki katika kumbukumbu yake kwa msimu wa 2021/2022 wa NBC Premier League ambapo yeye alitoa pasi ya goli lililofungwa na nahodha wake John Bocco. Kapombe ameitaja mechi hiyo iliyopigwa Mei 18, 2022 dimbani Azam Comple na kutoka sare ya 1-1, ni kwamba ndio mechi ambayo alicheza dakika 90 dhidi ya timu yake ya zamani ya Azam FC

NBCPL STAR | Jacob Masawe ataja Wachezaji waliomvutia zaidi toka aanze kucheza mpira wa Miguu.

1369
7
0
00:16:30
11.08.2022

NBCPL Star wa leo ni Jacob Masawe ambaye alifanya mahojiano na Azam TV na kubainisha mambo kadhaa juu ya maisha yake ya soka pamoja na malengo yake hapo baadae.

NBCPL STAR | Kikosi Bora cha Mayele, amtaja Inonga, Tshabalala, Feisal

95322
1034
124
00:23:08
01.08.2022

Hiki hapa Kikosi Bora cha Fiston Mayele kwenye NBC Premier League msimu wa 2021/2022. Mayele amemtaja Henock Inonga, Osman Sakho, Mohamed Hussein, George Mpole, Djigui Diarra, Djuma Shaban na Bakari Mwamnyeto

NBCPL STAR | Cleaphace Mkandala ataja Kikosi chake msimu uliopita, asimulia historia yake ya Soka

2113
19
2
00:10:06
06.08.2022

NBCPL STAR: Kiungo wa timu ya Azam FC katika mahojiano na Azam TV ametaja kikosi chake kilichomvutia zaidi msimu uliopita kwenye ligi kuu ya NBC na pia ameeleza mengi kuhusiana na safari yake ya Soka

NBC PL Star | Dickson Job afunguka alivyopenya mpaka kuwa beki mahiri, amtaja Diarra

17479
246
15
00:16:00
25.07.2022

Beki wa kati wa Yanga SC, Dickson Job ameelezea namna alivyoanzia chini mpaka kuwa beki mahiri na sasa anaitumikia pia Timu ya Taifa ya Tanzania. Job amesifu umahiri wa Djigui Diarra na kukumbuka msaada wa mpangaji wao aliyemuomba amsaidie.

NBCPL STAR: Jonas Mkude afunguka alivyoanza soka, amtaja mjomba wake

8129
138
12
00:18:56
30.07.2022

Kiungo wa soka wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude ameelezea namna safari yake ya soka ilivyoanza akiitaja Shule ya Ananasifu huku akisema mjomba wake alitoa mchango mkubwa sana kwa yeye kufika alipofika.

NBCPL STAR | Ismail Aziz 'Kader' amefunguka alivyopenya mpaka Azam FC - 01/08/2022

1537
20
1
00:10:55
01.08.2022

Msikie nyota wa Azam FC, Ismail Aziz 'Kader' amefunguka sehemu alizopita mpa kufika Azam FC. Aikumbuka mechi yao dhidi ya Geita Gold FC msimu uliopita

NBCPL FT : Simba sc 1-0 Polisi Tanzania goals & highlights

2738
8
0
00:02:31
27.10.2021

#nbcpremierleague#simbasc#polisiTanzania

Singida Big Stars 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBCPL Premier League 16/08/2022

208700
974
114
00:12:50
16.08.2022

Singida Big Stars wameanza na ushindi wa bao 1-0 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida. Goli pekee la Singida Big Big Stars limefungwa na Peterson Cruz raia wa Brazil. Tazama highlights

Highlights | Tanzania Prisons 0-2 Coastal Union | NBCPL - 10/11/2022

5444
37
6
00:11:41
10.11.2022

Tazama Coastal Union ilivyoichapa Tanzania Prisons mabao 0-2 ndani ya dimba la Sokoine Mbeya kwenye mchezo wa NBC Premier League Wafungaji ni Maabad Maulid na Hamad Majimengi

Magoli | Tanzania Prisons 0-2 Coastal Union | NBCPL - 10/11/2022

15660
77
4
00:02:36
10.11.2022

Tazama magoli yote Coastal Union ikiichapa Tanzania Prisons mabao 0-2, kwenye mchezo wa NBC Premier League ndani ya dimba la Sokoine Mbeya. Wafungaji ni Maabad Maulid na Hamadi Majimengi

NBCPL STAR | Israel Patrick afunguka kisa chake shule ya msingi wakati akianza soka

8364
74
9
00:20:48
03.08.2022

Msikie beki wa Simba SC, Israele Patrick Mwenda akielezea kisa chake cha shule ya msingi akiwa Magu mkoani Mwanza baada ya kuzuiwa kwenda mechi kisa yeye yupo darasa la mtihani.

NBCPL STAR | Kakolanya asema maisha yake na Manula ni kama ndugu

17165
100
10
00:15:27
02.08.2022

Golikipa wa Simba SC, Beno David Kakolanya amefunguka kuhusu namna anavyoishi na golikipa mwenzake Aishi Manula huku akisema ya kwamba wapo kama ndugu.

Highlights | Geita Gold 2-1 Namungo | NBCPL 22/10/2022

16541
117
8
00:16:57
22.10.2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Geita Gold ikiichapa Namungo FC mabao 2-1 katika dimba la Nyankumbu

NBCPL: Yanga vs Azam fc goals & highlights

510
1
0
00:01:36
30.10.2021

#Azamfc#Yangasc#nbcpremierleague#tanfootball

Highlights | Mbeya City 0-1 Azam FC | NBCPL - 13/09/2022

22864
107
6
00:15:22
13.09.2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Azam FC wakiichapa Mbeya City 0-1 katika dimba la Sokoine Mbeya. Mfungaji wa bao ni Idris Mbombo

NBC PREMIER LEAGUE STAR | Nyoni afunguka kaka yake alivyogundua kipaji chake

14124
160
11
00:14:19
24.07.2022

NBC PREMIER LEAGUE STAR: Msikie beki mkngwe wa Simba SC, Erasto Nyoni akielezea mtazamo wake kuhusu msimu uliopita na ujao huku akisimulia namna kaka yake alivyogundua kipaji chake cha soka. Nyoni abainisha kuguswa na mechi dhidi ya Yanga SC za msimu uliopita #NBCPLStar #StarWaNBC #ErastoNyoni

Magoli | Yanga SC 3-0 Mtibwa Sugar | NBCPL - 13/09/2022

266989
1682
264
00:04:39
13.09.2022

Tazama magoli yote ya Yanga SC ikiichapa Mtibwa Sugar mabao 3-0 kwenye mchezo wa NBC Premier League uliopigwa dimbani Benjamin Mkapa. Wafungaji ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Stephane Aziz Ki

magoli yote ya TANZANIA PRISON NA MTIBWA SUGAR 1-3 MTIBWA NBCPL hipo msimu ujao

71
0
0
00:00:26
03.07.2022

magoli yote ya TANZANIA PRISON NA MTIBWA SUGAR 1-3 MTIBWA NBCPL hipo msimu ujao

Highlights | Tanzania Prisons 1-1 JKT Tanzania | Play Off | Championship/NBCPL 13/07/2022

8564
62
7
00:15:09
13.07.2022

PLAY OFF: Ni mchezo wa mtoano mkondo wa pili iliyoshuhudia timu ya Tanzania Prisons ikisalia ligi kuu kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1 kufuatia sare ya bao 1-1 na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza. Katika mchezo huu, JKT ndiyo waliotangulia kupata bao kwa penati ya Edward Songo dakika ya 36, kabla ya wenyeji Tanzania Prisons kusawazisha kwa goli la super sub, Benjamin Asukile dakika ya 69.

RATIBA YA SIMBA 2022/2023 NBCPL | Mechi zote.

12822
36
0
00:08:55
08.08.2022

Ratiba ya mechi zote za Simba msimu wa 2022/2023 NBPL. Topics: ligi kuu tanzania bara leo, ligi kuu nbc leo, anayeongoza magoli ligi kuu tanzania, anayeongoza magoli nbc, msimamo wa ligi kuu tanzania bara 2021/22, waliosajiliwa simba, waliosajiliwa yanga, wachezaji wapya simba, wachezaji wapya wa yanga, kikosi cha simba leo, kikosi cha yanga leo, Simba, Yanga, Azam, Namungo, Biashara United, Mbeya City, Ruvu Shooting, Polisi Tanzania, Coastal Union, Singida, Kagera Sugar, Mtibwa Sugar, Geita Gold, KMC, Tanzania Prisons, Dodoma Jiji. FIXTURES TIME STAMPES 0:00 - Intro 01:08 - Simba Sc vs Geita Gold 01:15 - Simba Sc vs Kagera Sugar 01:24 - Simba Sc vs KMC 01:31 - Tanzania Prisons vs Simba Sc 01:40 - Mbeya City vs Simba 01:48 - Simba Sports Club vs Dodoma Jiji 02:07 - Singida Big Stars vs Simba sc 02:18 - Yanga vs Simba 02:32 - Azam Fc vs Simba Sc 02:56 - Simba Sc vs Mtibwa Sugar 03:03 - Simba Sc vs Ihefu 03:11 - Simba Sc vs Namungo 03:19 - Ruvu Shooting vs Simba Sc 03:28 - Polisi Tanzania vs Simba Sc 03:38 - Coastal Union vs Simba SECOND ROUND; 04:11 - Geita Gold Fc vs Simba Sc 04:31 - Kagera Sugar vs Simba 04:43 - KMC vs Simba 05:06 - Simba vs Tanzania Prisons 05:16 - Simba vs Mbeya City 05:26 - Dodoma Jiji vs Simba Sc 05:35 - Simba sc vs Singida Big Stars 05:53 - Simba vs Yanga 06:16 - Simba vs Azam 06:25 - Mtibwa Sugar vs Simba 06:34 - Ihefu vs Simba 06:43 - Namungo vs Simba 07:07 - Simba Sc vs Ruvu Shooting 07:23 - Simba vs Polisi Tanzania 07:34 - Simba vs Coastal Union ➤About This Video :- 👉 Ratiba Ligi kuu bara, 👉 #Live 👉 Matchday ➤Thanks For Watching. Please, don't forget to like, comment & share the video. ➤[Social Media] Follow Us- ➤Facebook: 🤍 ➤Instagram: 🤍 ➤twitter: 🤍 ➤Business Email:- dailytzn🤍gmail.com ➤OUR ONLINE MAGAZINE website: 🤍 ➤SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL: 🤍 ➤About PlanetFive Channel: This channel is about Entertainment & Sports.We give you all highlights, leagues fixtures, standings & Results from sports and entertaining videos. ➤DISCLAIMER FOR OUR CHANNEL: If you require any more information or have any questions about our channel's disclaimer, please feel free to contact us by email dailytzn🤍gmail.com ➤ Disclaimers for PlanetFive: All videos on this channel is published in good faith and for general information purpose only. PlanetFive does not make any warranties about the completeness, reliability and accuracy of this videos. Any action you take upon the videos you find on this channel, is strictly at your own risk. PlanetFive will not be liable for any losses and/or damages in connection with the use of our channel. ➤HERE'RE SOME OF OUR GREAT VIDEOS:- ➤RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA 2021/22 🤍 ➤Ratiba ya Yanga Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022​ 🤍 ➤Ratiba ya Simba Ligi kuu 2021/2022 (Mechi zote) 🤍 ➤Meddie kagere - Tamko latoka Simba kuhusiana na mshambuliaji huyu kuondoka 🤍 ➤USAJILI YANGA: List ya wachezaji waliosajiliwa Yanga mpaka sasa 🤍 ➤USAJILI: YANGA yatangaza wachezaji wapya kuziba pengo 🤍 ➤Kikosi cha Simba leo dhidi ya KMC 🤍 ➤Simba vs Yanga Lake Tanganyika Kigoma kuwaka moto 🤍 = ➤Video Creators :- Silaji Limbu — 🤍 Lissah Maxone — 🤍 #PlanetFive #Sports

Goli | Mbeya City 0-1 Azam FC | NBCPL - 13/09/2022

18358
96
7
00:01:28
13.09.2022

Tazama goli la Azam FC wakiichapa Mbeya City 0-1 katika dimba la Sokoine Mbeya. Mfungaji wa bao ni Idris Mbombo

#nbcpl Simba sc vs Dodoma jiji 2-0, Goli la pili la Meddie Kagere.

6
0
0
00:01:11
07.03.2022

#nbcpl #ligikuuyanbc #nbcplupdates #nbcpremier #simbasc #dodomajiji #azamsports #leo

Msimamo wa NBCPL 2021/22 Hadi Sasa

3732
10
0
00:01:01
12.12.2021

NBCPL: Namungo Vs Simba, MAY 3, 2022 ratiba ligi kuu.

274
3
0
00:02:20
03.05.2022

Leo Simba wataikaribisha Namungo katika mchezo wa Ligi kuu bara. Namungo walipokea kichapo kutoka kwa Simba katika mchezo wa raundi ya kwanza. Highlights | Simba SC 2-0 Namungo FC | nusu fainali Mapinduzi - Simba 1-0 Namungo | Highlights | NBC Premier League 03/11/2021 EBOH! MC PETIT MAPEMA ATUA LINDI NA KAKA WA INONGA BAKA/NAMUNGO/SIMBA HATUWEZI KUFUNGWA SIKU YA EID ➤About This Video :- 👉 Simba Sc 👉 Namungo Fc 👉 NBC Premier League ➤Thanks For Watching. Please, don't forget to like, comment & share the video. ➤[Social Media] Follow Us- ➤Facebook: 🤍 ➤Instagram: 🤍 ➤twitter: 🤍 ➤Business Email:- dailytzn🤍gmail.com ➤OUR ONLINE MAGAZINE website: 🤍 ➤SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL: 🤍 ➤About PlanetFive Channel: This channel is about Entertainment & Sports.We give you all highlights, leagues fixtures, standings & Results from sports and entertaining videos. ➤DISCLAIMER FOR OUR CHANNEL: If you require any more information or have any questions about our channel's disclaimer, please feel free to contact us by email dailytzn🤍gmail.com ➤ Disclaimers for PlanetFive: All videos on this channel is published in good faith and for general information purpose only. PlanetFive does not make any warranties about the completeness, reliability and accuracy of this videos. Any action you take upon the videos you find on this channel, is strictly at your own risk. PlanetFive will not be liable for any losses and/or damages in connection with the use of our channel. ➤HERE'RE SOME OF OUR GREAT VIDEOS:- ➤RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA 2021/22 🤍 ➤Ratiba ya Yanga Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022​ 🤍 ➤Ratiba ya Simba Ligi kuu 2021/2022 (Mechi zote) 🤍 ➤Meddie kagere - Tamko latoka Simba kuhusiana na mshambuliaji huyu kuondoka 🤍 ➤USAJILI YANGA: List ya wachezaji waliosajiliwa Yanga mpaka sasa 🤍 ➤USAJILI: YANGA yatangaza wachezaji wapya kuziba pengo 🤍 ➤Kikosi cha Simba leo dhidi ya KMC 🤍 ➤Simba vs Yanga Lake Tanganyika Kigoma kuwaka moto 🤍 = ➤Video Creators :- Silaji Limbu — 🤍 Lissah Maxone — 🤍 #PlanetFive #Sports

Goli la Mbeya City dhidi ya Simba Leo (1-0) NBCPL

103
1
0
00:01:38
17.01.2022

#golilambeyacityvssimbaleo #golilambeyacityvssimba #golilambeyacityleovssimba #golilambeyacitydhiyasimbaleo

#nbcpl SARE YA SIMBA VS SNGIDA, MASHABIKI WATEMA NYONGO. subscribe, share comment na like

13
0
0
00:01:54
09.11.2022

Mashabiki watoa ya moyoni juu ya mechi kati ya Simba vs Singida Big star. Kwa matangazo na ushauri tumia whatsapp ni. 0746850083

Highlights | Yanga SC 3-0 Mtibwa Sugar| NBCPL - 13/09/2022

422462
2130
208
00:15:11
13.09.2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Yanga SC ikiichapa Mtibwa Sugar mabao 3-0 kwenye mchezo wa NBC Premier League uliopigwa dimbani Benjamin Mkapa. Wafungaji ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Stephane Aziz Ki

Goli | Namungo FC 1-0 Coastal Union | NBCPL - 17/09/2022

8136
56
11
00:01:32
18.09.2022

NBCPL: Tazama goli la tano kwa Reliants Lusajo kwenye NBC Premier League akiipatia alama tatu Namungo kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union uliopigwa jana Jumamosi dimbani Majaliwa.

Назад
Что ищут прямо сейчас на
NBCpl jul sous la lune ogalar вудский дед стрим BUDIOLANALI