NILIKUWA MUANDISHI WA HABARI”

NILIKUWA MUANDISHI WA HABARI” смотреть последние обновления за сегодня на .

MKAPA ATOBOA SIRI, “SITAKI KUSEMA SANA, NILIKUWA MUANDISHI WA HABARI”

52783
131
26
00:05:58
30.05.2020

MKAPA ATOBOA SIRI, “SITAKI KUSEMA SANA, NILIKUWA MUANDISHI WA HABARI” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo anaweka jiwe la msingi la ujenzi wa ikulu mpya ya Chamwino jijini Dodoma, zoezi lililohudhuriwa na marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete sambamba na viongozi wengine wa sasa na wastaafu. Pia Rais Magufuli amekabidhi ndege aina ya tausi kwa Mama Maria Nyerere, mke wa baba wa taifa, marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete. Wastaafu wote wamezungumza kwenye hafla hiyo, huku mama Maria akiwakilishwa na mwanaye Makongoro Nyerere na kwa pamoja wamemshukuru mheshimiwa rais. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

USHUHUDA: Mwanahabari Aliyepofuka Kiajabu, ana uwezo unaoshangaza!

1769
22
10
00:09:46
19.03.2019

USHUHUDA: Mwandishi wa Habari 'KIPOFU', Sitasahau Nilivyotengwa na Jamii!! Ally Thabit ni kijana wa Kitanzania aliyepata ulemavu wa kuona akiwa na umri wa miaka 9, yeye pamoja na kaka yake walipata ulemavu huo siku moja wakiwa Mkoani Ruvuma Tunduru. Pamoja na ulemavu alionao Ally haamini kwenye kushindwa na kukata tamaa kutokana na ulemavu wake, na hivyo ameamua kufanya shughuli za kujipatia kipato ili aache kuwa tegemezi. Ni mwandishi wa habari aliyewahi kuajiriwa na makampuni tofauti tofauti lakini changamoto ya malipo ilimfanya aamue kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha blog yake. 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍

"NILIKUWA na AZORY GWANDA SIKU MOJA KABLA HAJAPOTEA, NIMENUSURIKA KUUAWA MARA 9" - SIMBA

7946
42
12
00:16:13
18.10.2021

"NILIKUWA na AZORY GWANDA SIKU MOJA KABLA HAJAPOTEA, NIMENUSURIKA KUUAWA MARA 9" - SIMBA GLOBAL TV imefanya mahojiano na Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, Yakubu Simba, ambaye amezungumzia changamoto anazokabiliana nazo katika kutekeleza majukumu yake ya uandishi wa habari. Simba pia ameelezea namna alivyoshirikiana na Azory Gwanda, mwandishi aliyeripotiwa kutoweka miaka mitano iliyopita hadi sasa... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

TAMKO LA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED KUPOTEA KWA MWANDISHI AZORY GWANDA

2227
22
3
00:32:41
07.12.2017

Kampuni ya Mwananchi Communication Limited imepaza sauti kulaani kuchukuliwa kwa mwandishi wa kampuni hiyo, Azory Gwanda na watu wasiojulikana kwa siku 17 sasa huku wakiwataka waliomchukua wamrudishe akiwa hai.

UTACHEKA VITUKO VYA CHOLO, NDUGU WAANDISHI WA HABARI, UKWELI WA MAISHA YAKE, KICHAA, SURA YAKE

288963
3399
396
00:09:16
17.08.2021

Leo AyoTV inakukutanisha na Nassoro Nasibu Kanganya maarufu kwa jina la Cholo Boy ambaye hapa anatuelezea maisha yake

WADAU WA HABARI WAPAZA SAUTI KUPOTEA KWA MWANDISHI AZORI

389
9
0
00:05:35
09.12.2017

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

ITAKUTOA MACHOZI: KIJANA ASIMULIA - "NILIKUWA HANDSOME, GHAFLA NIMEKUWA KILEMA, NAKIMBIWA NA WATU"

270686
1809
929
00:30:42
16.12.2021

ITAKUTOA MACHOZI: KIJANA ASIMULIA - "NILIKUWA HANDSOME, GHAFLA NIMEKUWA KILEMA, NAKIMBIWA NA WATU" GLOBALJAMII wiki hii na Daniel Joseph (26) Mkazi wa Dar es salaam ambaye amepoteza muonekano wake halisia baada kupata ajali ya shoti ya umeme Mkoani Kilimanjaro wakati akiwa katika shughuli zake ambapo katika tukio hilo mwenzie aliyekuwa nae amepoteza kabisa kumbukumbu na Kwa sasa kijana Daniel hana makazi ya Kuishi. UNAWEZA KUMSAIDIA CHOCHOTE KUPITIA NAMBA +255686162614 ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MWANDISHI WA HABARI ERICK KABENDELA AFANYIWA VIPIMO VYA X-RAY NA DAMU

407
3
0
00:00:36
18.09.2019

Mwandishi wa habari Erick Kabendela ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatano kuwa jana amefanyiwa vipimo vya X-Ray na damu kwa mara ya kwanza katika Hospitali ya Rufaa ya Amana

BBC MITIKASI LEO 27.05.2022

1711
16
1
00:13:02
27.05.2022

Yaliyomo! Chapa za kimataifa za vipodozi zanza kuweka hema Afrika!..... Ni fursa gani zinazojitokeza kwa wajasiriamali barani? #BBCMitikasiLeo #BBCSwahiliNews #BBCBiasharaBomba #Lynace #Mwashighadi

JAMVI LA SEMA: Ushawishi wa Kampeini za Wanawake [Part 3]

387
1
0
00:12:35
06.07.2022

Wanawake wengi wanawafanyia kampeni wanasiasa na kuwatafutia wafuasi Wanawake huwashawishi wafuasi kuhudhuria hafla za kisiasa Wanawake wengi husaidia wanasiasa kuuza ajenda zao mashinani Je, wanawake hawa hutumia vigezo gani kuvutia wapigakura Hatma ya wanawake wanaowapigia debe wanasiasa ni ipi? Wanawake hupitia changamoto zipi wanapowatafutia wanasiasa kura?

Msaidizi asimulia dakika 45 za mwisho za Mzee Mkapa

55501
174
39
00:05:29
25.07.2020

“Nilikuwa naye (Mzee Mkapa) kwa zaidi ya saa moja na nusu…alizungumza mambo mawili…moja la kikazi na jingine ni binafsi…,” - Makocha Tembele, Msaidizi wa hayati Benjamin Mkapa akielezea maneno ya mwisho aliyoambiwa na aliyekuwa boss wake. #RIPMzeeMkapa #BurianiBenjaminMkapa #BenjaminMkapa #AzamUTV #BurianiMzeeMkapa Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

MWANDISHI ASIMULIA ALIVYOINGIA SOMALIA KWA MITUTU - "Sitasahau Tukio Lile"

8619
43
12
00:09:23
16.07.2019

MWANDISHI AFUNGUKA ALIVYOINGIA SOMALIA NA MAHAD NUR-"Tulishikiwa Mitutu" Baada ya kifo cha mfanyabiashara maarufu kilichotokea huko nchini Somalia, na kuzikwa huko huko Siku iliyofuata.. Moja ya mwandishi wa habari nchini Tanzania ambaye ni nguli katika tasnia ya habari Khamis Tembo, amefunguka na kusema kuwa marehemu ni mtu ambaye amemfanya hadi akaingia nchini Somalia kufanya kazi.. #ripmahad 🤍 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍

WALIVYORUSHIANA MANENO ASMA NA MALRINE MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

2395
66
5
00:02:26
28.10.2021

WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Purity Wanjiru: 'Nilikuwa kahaba nikiwa kwenye ndoa'

8516
51
27
00:57:46
08.07.2020

Purity Wanjiru ni mwanamke aliyezaliwa katika familia ya watoto 12 akiwa kitinda mimba nchini Kenya. Wanjiru hakupenda kwenda shuleni na siku moja familia yake yote iliamua kumuadhibu kwa viboko na kutokana na hilo aliamua kutoroka kwao nyumbani akiwa na miaka 13 na kuamua kuishi mitaani. Baada ya muda alipata mwanamume anayedai kuwa hakuwa anawajibika kwa namna yoyote ile. Marafiki zake walimshauri njia ya kupata pesa ni kushiriki ukahaba na kulingana na Purity ni kazi aliyoifanya hadi alipopata kifungua mimba wake. Mume wake alifahamu kazi aliyoifanya ya ukahaba kwani pesa hizo ndizo walikuwa wakitumia kuyakidhi maisha yao wote watatu. #Wanawake #bbcswahili #waridiwabbc

Kumkumbuka Rais Mkapa | Siasa za Kanda

29451
87
13
00:25:33
26.07.2020

Kumkumbuka Rais Mkapa | Siasa za Kanda #Kenya #KTNNews #KTNPrime #COVID19 #CoronaVirus SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Waridi wa BBC: Biashara ya mihadarati ilivyonipeleka jela

7004
39
12
00:49:12
30.06.2021

Judith Grace Akinyi, kujiingiza kwenye biashara ya uhalifu, biashara ambayo aliamini ingempatia fedha nyingi na kubadilisha hadhi ya maisha yake uamuzi ambao anaujutia kwani ulimpeleka jela. #bbcswahili #wanawake #waridiwabbc

Alichokisema HAJI MANARA kwenye mkutano na waandishi wa habari

1752
7
2
00:03:55
14.01.2022

#Pressconferance #HajiManara #Yanga #Usajili Msemaji wa klabu ya Yanga haji manara akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao dhidi ya Coastal Union jijini Tanga.

''NILIKUWA NAKUSAKA, NITAKUZALILISHA, NINA MESEJI ZAKO, UNAKUJA KULETA UYANGA HAPA''- HAJI MANARA

13597
47
29
00:27:34
30.06.2021

Katika hali isiyo ya kawaida Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC Haji Manara ameonekana kama kubanwa na maswali kutoka kwa Waandishi wa Habari wakati wa Mkutano na Waandishi kuelekea Kariakoo Derby. Moja kati ya swali aliloulizwa Haji Manara ni kuwa takwimu za mechi yao na Yanga SC misimu miwili ya Ligi Kuu hivi karibuni zinaonesha sio nzuri sana kwa Simba licha ya ubora huo waliyokuwanao. ''Kwenye mechi tatu zilizopita, ambazo mmekutana na Yanga kwenye Ligi Kuu hakuna mchezo wowote mliyopata matokeo ya ushindi zaidi ya Mchezo mmoja kufungwa na miwili kutoa sare, ukiizungumzia unazungumzia ni timu kubwa lakini kwa hizi derby kama tatu zilizopita tumeona kwamba Yanga wamekuwa na matokeo mazuri zaidi.''- ameuliza Mwandishi akihoji ubora wa Simba kwenye derby ya mtani hasa akitolea mfano matokeo ya mechi mbili za ligi msimu uliyopita na mchezo mmoja wa msimu huu akijumuisha kuwa wamekutana mara tatu lakini Simba SC imekosa matokeo mazuri licha ya ubora huo wanaousema.

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 27/06/2019

29200
113
45
00:23:36
27.06.2019

Na Mariam Omar

Kabendera aurudishwa rumande

2609
8
4
00:03:13
19.08.2019

Kesi ya kuhujumu Uchumi inayomkabili Mwanahabari Erick Kabendera imeahirishwa tena, upande wa mashtaka ukieleza mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika.

Somalie : enquête au pays des pirates

348570
3122
293
00:52:33
29.11.2022

La corne de l'Afrique est devenue l'une des zones les plus dangereuses de la planète : plus de la moitié des actes de piraterie recensés dans le monde y ont été perpétrés.

'Kwa siku nilikuwa nachinja ng'ombe tatu, sasa hivi hata mmoja simalizi'

535
4
0
00:01:47
30.06.2022

Kwa takribani wiki mbili zilizopita serikali ya Congo iliamuru kufungwa kwa mpaka kati ya nchi hiyo na Rwanda kuanzia saa tisa alasiri. Hii imekuja baada ya Congo kuituhumu Rwanda kuwa inaunga mkoo kundi la waasi la M23,shutuma ambazo Rwanda imekuwa ikikanusha Mzozo huo baina ya nchi mbili umesababisha kukwama kwa shughuli za biashara ambazo zimeshamiri baina ya wakazi wa miji hiyo Mwandishi wa BBC Yves Bucyana amefika Katika mji wa Rubavu na kutuandalia taarifa hii. #bbcswahili65 #drc #rwanda

BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 14.06.2019

36392
232
50
00:23:33
14.06.2019

Na Mariam Omar & Zawadi Machibya

Kifo cha Mamake Mzazi; KABENDERA Amwaga Machozi MAHAKAMANI

37230
112
120
00:05:02
02.01.2020

Kifo cha Mamake Mzazi; KABENDERA Amwaga Machozi MAHAKAMANI Mwandishi wa habari wa Kujitegemea, Erick Kabendera amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kabendera anashitakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi Cha shilingi Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu. Mahakama ime GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:🤍 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:🤍 GLOBAL RADIO TV:🤍 EXCLUSIVE INTERVIEW:🤍

Duniani Leo April 11, 2019

9011
72
8
00:30:02
11.04.2019

Rais wa Sudan Omar Al Bashir amejiachia madaraka kufuatia shinikizo la muda mrefu la maandamano ya wananchi waliokuwa wakipinga kupanda kwa bei ya mkate na chakula. Wapiga kura wa India leo wamepiga kura Originally published at - 🤍

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 25.09.2018

22528
151
30
00:24:02
25.09.2018

Ungana na SALIM KIKEKE kupata habari, maelezo, uchambuzi, maoni na michezo

Mh.Benjamin Mkapa alikuwa mtu wa namna gani? Wanazuoni walonga.

4807
16
5
00:29:56
24.07.2020

#Kumekucha #Mkapa #Elimu #Uongozi Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : 🤍 Facebook : 🤍 Twitter : 🤍 Instagram : 🤍

Mwili wa Mwanahabari Mildred Odira ulikanyagwa na magari baada ya kifo chake

1421
1
0
00:02:51
05.02.2019

Huenda mwili wa marehemu Mildred Odira ulitupwa barabarani na kukanyagwa na magari baada ya kifo chake. Haya ni kwa mujibu wa uchunguzi wa upasuaji wa maiti uliobaini kuwa mengi ya majeraha yake yalitokea baada ya kifo chake. Haya yanatokea wakati kakake akidai amepata vitisho kuhusiana na uchunguzi wa kifo chake. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

BBC MITIKASI LEO JUMATATU 02.03.2020

8561
61
7
00:13:43
02.03.2020

YALIYOMO!!!Uganda yawatenga raia wanne wa kigeni waliowasili nchini humo walio na dalili za virusi vya Corona!

🔴#Live: MAKOCHA YANGA, RUVU SHOOTING WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, WAELEZA WALIVYOJIPANGA...

3965
23
1
00:15:09
02.10.2022

🔴#Live: MAKOCHA YANGA, RUVU SHOOTING WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, WAELEZA WALIVYOJIPANGA... Makocha wa klabu za Yanga na Ruvu shooting pamoja na manahodha wao wamezungumza na waandishi wa habari na kueleza namna walivyojipanga kuelekea mchezo wao wa ligi kuu utakaopigwa hapo kesho oct 3, 2022. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

#LIVE: HARMONIZE ANAFUNGUKA KWA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU

8773
85
12
00:02:05
10.08.2020

#millardayoUPDATES #Harmonize

Magufuli atoa tahadhari ya chakula nchini.

5124
32
2
00:08:55
31.05.2020

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : 🤍 Facebook : 🤍 Twitter : 🤍 Instagram : 🤍

#LIVE : KUTOKA HYATT REGENCY TEAM YA WASAFI MEDIA WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

22124
429
23
01:05:54
12.04.2021

#LIVE : KUTOKA HYATT REGENCY TEAM YA WASAFI MEDIA WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI - APRIL 12, 2021

BREATHE: The Screening

26
0
0
00:23:57
06.12.2022

MIAKA MIWILI BILA AZORY GWANDA, MWANANCHI COMMUNICATION YAMKUMBUKA

926
5
0
00:04:24
22.11.2019

Simulizi ya Mwandishi Azory Gwanda Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, wazalishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti, leo Novemba 21, 2019 imepanda mti na kuzindua picha maalumu kama ishara ya heshima na kumkumbuka mwandishi wake Azory Gwanda. Matukio hayo mawili yametokea ikiwa ni miaka miwili kamili tangu Azory, ambaye alikuwa akiandikia magazeti ya kampuni hiyo, kutoweka katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa anaripoti habari za mauaji yaliyokuwa yakitokea Wilaya Kibiti mkoani wa Pwani. Shughuli za kupanda mti na kuzindua picha maalumu ziliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi, Francis Nanai ambaye amesema kwamba kampuni inamkumbuka Azory kama mwandishi mahiri na jasiri ambaye alithubutu kuendelea na kazi yake hata katika mazingira ambayo yalikuwa na changamoto nyingi. Mhariri wa jamii wa kampuni ya Mwananchi na mwandishi mkongwe Tanzania, Ndimara Tegambwage amesema kwamba kupandwa kwa mti huo kunaashiria kwamba tasnia ya habari itaendelea kustawi nchini Tanzania licha ya kuwepo kwa changamoto nyingi zinazokwamisha kazi za waandishi. Kwa upande wake mwandishi wa habari wa Mwananchi ambaye aliongea kwa niaba ya waandishi wa habari wengine wa kampuni hiyo, Dk Tumaini Msowoya alliomba Serikali kuongeza juhudi za kutafuta mahala alipo Azory na kusisitiza kwa waandishi wengine kuzingatia weledi katika kazi zao na kuzifanya bila woga. 🤍

🔴#LIVE: CHOLO BOY wa 'NDUGU WAANDISHI wa HABARI' Afunguka UCHEKESHAJI, MPENZI Wake, ELIMU..

3310
31
5
00:38:05
08.09.2021

🔴#LIVE: CHOLO BOY wa 'NDUGU WAANDISHI wa HABARI' Afunguka UCHEKESHAJI, MPENZI Wake, ELIMU.. MCHEKESHAJI Aliyeibuka hivi karibuni na ku trend kwenye mitandao ya kijamii, Cholo Boy, ametinga katika studio za Global Radio na kufunguka ishu mbalimbali kuhusu kazi yake na maisha yake kwa ujumla. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Назад
Что ищут прямо сейчас на
NILIKUWA MUANDISHI WA HABARI” BMW car WW1 россия 23 владимир исцелится تقسيم airplane food работа в Корее Careless семейный прогноз ужасный нож футбол новости ark jasper cadas ngampar sadananya как приготовить вкусно перец fuze3 моделирование swedish dialog Swarnavahini José and Carrie