RC ARUSHA

RC ARUSHA смотреть последние обновления за сегодня на .

A - Z: MKANDARASI AMUONESHA DHARAU MKUU WA MKOA, ALICHOMFANYA NI FUNZO!

355183
1381
706
00:09:15
18.11.2022

A - Z: MKANDARASI AMUONESHA DHARAU MKUU WA MKOA, ALICHOMFANYA NI FUNZO! WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

KINYWA CHANGU - Kwaya Kuu Ya Mt. Cesilia Arusha - Tanzania

556720
1304
95
00:08:18
05.10.2020

Mtunzi: Athanus Kijuu Kwaya: Kwaya Kuu ya Mt. Cesilia Arusha Album: Bwana Ameitika

PESA ZA RAIS SAMIA ZAMPONZA MKANDARASI ARUSHA, RC MONGELLA AMPA SIKU 3 AFIKE KUJIELEZA - ''NAMSAKA''

1869
4
9
00:10:03
19.10.2022

PESA ZA RAIS SAMIA ZAMPONZA MKANDARASI ARUSHA, RC MONGELLA AMPA SIKU 3 AFIKE KUJIELEZA - ''NAMSAKA'' Serikali Mkoa wa Arusha imetia saini ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Bararaba za Mkoa wa Arusha kwa kuingia mkataba na wakandarasi 18 watakaotengeneza barabara hizo ambazo zote zipo chini ya wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Zoezi hilo lililoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha limelenga kutoa taarifa kwa wananchi na Viongozi wanaosimamia miradi hiyo ili wafahamu kuwa kazi inayofanywa na serikali katika kuboresha miundo mbinu ili waweze pia kuilinda. Akizungumzia katika zoezi hilo mh Mongella alimpongeza Mh Rais Samia kwa kuelekeza uwekaji sahihi wa mikataba mbali mbali ya Serikali inayoingia kwa uwezi katika ngazi zote. Mogella Pia amemshukuru Rais Samia kwa kuongeza kiasi kikubwa cha katika miundo mbinu ya barabara katika mkoa wa Arusha katika mwaka huu wa fedha 2022-2023 kutoka bilioni 9 hadi bilion 18.2 na Kusema kuwa Rais hana deni kwenye barabara Arusha na kuboreshwa kwa miundo mbinu hiyo itapunguza gharama za Usafiri. Aidha Mh Mongela amewataka wakandarasi walipota tenda hizo kuwa wazalendo katika utekelezaji wa Miradi hiyo kwakuwa wote ni watanzania na kuwataka wakatibitishe ubora wa Kazi zao kupitia kazi watakaoenda kuzifanyia ndani ya kipindi cha miezi 6 watu waanze kunufaika na Miradi hiyo. Kwa mwaka wa fedha 2022-2023 TARURA Mkoa wa Arusha tulitengewa fedha za matengenezo ya barabara jumla ya TZs.18,235,106,997.25. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MAGARI YA MAPYA SERIKALI YATELEKEZWA ARUSHA DC MTANDA ASHITUKIZA AYAKUTA ''Madereva Wanarogana Tu''

21641
158
91
00:05:03
03.11.2022

MAGARI YA MAPYA SERIKALI YATELEKEZWA ARUSHA DC MTANDA ASHITUKIZA AYAKUTA ''Madereva Wanarogana Tu'' Mkuu wa Wilaya ya Arusha amemuagiza Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kuchukua Hatua kwa wasimamizi wa Magari ya Jiji la Arusha kutokanana uzembe wa kutengeneza Magari... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

KAMATAKAMATA YA WATUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA ARUSHA YAANZA, WALIOKAMATWA WAISHUKURU SERIKALI..

55608
400
204
00:12:17
05.11.2022

KAMATAKAMATA YA WATUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA ARUSHA YAANZA, WALIOKAMATWA WAISHUKURU SERIKALI.. Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Arusha imefanya oparesheni ya kuwakamata vijana na watu wote wanaodhaniwa wanajihusisha na matumizi ya madawa ya Kuleva katika jiji la Arusha... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

RC ARUSHA AKASIRIKA KIKAONI, AMPA ONYO MKURUGENZI "ANANIJARIBU, MAMBO YA KITOTO"

4846
20
1
00:09:27
28.12.2021

Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela amempa onyo mkurugenzi wa halmashauri ya Ngorongoro Juma Mhina kwa kitendo chake chakumjaribu mara kwa mara ikiwemo kumuomba likizo ile hali hajamaliza ujenzi wa madarasa ya ya wananfunzi katika halmashauri zake

RC ARUSHA AZUIA MIKUSANYIKO, MISIBA VIBALI MAALUM

1807
21
7
00:03:04
23.07.2021

WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

WANANCHI WAANDAMANA ARUSHA KUPINGA MWALIMU KUHAMISHWA, WATAKA ARUDISHWE HARAKA SANA!

20184
115
109
00:08:55
05.12.2022

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha

7303705
14517
1603
00:07:53
15.06.2019

Maneno Matamu, ni wimbo Maalum wa ndoa ulioimbwa na kwaya ya Moyo safi wa Bikira Maria - Unga Limited Arusha. Wimbo huu uliotungwa na Ndg. Hendry P. Kimario, upo kwenye album inayoitwa Pindo la Uzima. Wanakwaya hawa wanakukaribisha kusilikiza na kuutazama wimbo huu. Huu ni wimbo bora kabisa miongoni mwa Nyimbo za ndoa Katoliki. This is a Catholic Swahili wedding Song. You are invited to watch and listed to the beautiful melodies from this choir, one among the best choirs in Tanzania. Tuendelee kufurahia Muziki wa kanisa katoliki, Muziki unaohusu Habari za Yesu na maisha ya Ukristo kwa ujumla. iwapo ungependa kuwa wakala wa kuisambaza album hii, fanya mawasiliano kupitia namba +255 762 749 638 au +255 623 983 469 #kwayakatoliki

RC Arusha atoa neno kwa wakufunzi wa sensa kuhusu weledi, maadili

211
1
0
00:01:58
27.07.2022

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amewataka wakufunzi wa mafunzo ya Sensa ya watu na makazi kuzingatia maadili na miiko ya kazi ili kufanikisha shughuli hiyo inayotarajiwa kuanza Agosti 23, 2022.

RC GAMBO AFANYA MAKUBWA, AUUNGA MKONO KWA WANA ARUSHA...

563
6
1
00:10:03
18.07.2019

RC GAMBO AFANYA MAKUBWA, AUUNGA MKONO KWA WANA ARUSHA... Baada ya Mkoa Kufanya Vizuri kwenye Matokeo Ya Taifa ya Mtihani wa Kidato Cha Sita Wadau mbali mbali wa maendeleo wameendelea kumuunga mkono mkuu wa mkoa huo katika kuboresha elimu hasa kwa ujenzi wa Madarasa na nyumba za walimu.Ikumbukwe kuwa shule ya kwanza kwa ufaulu mzuri mwaka huu inatoka mkoani Arusha ambayo ni Shule ya Kisimiri Sekondari. #RCGAMBO 🤍 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍

BOMOABOMBOA ARUSHA HAKUNA FIDIA RC MONGELLA AZUNGUMZA NA WANANCHI WARIDHIKA WAOMBA KUONGEZEWA SIKU..

13021
68
31
00:09:41
15.11.2022

BOMOABOMBOA ARUSHA HAKUNA FIDIA RC MONGELLA AZUNGUMZA NA WANANCHI WARIDHIKA WAOMBA KUONGEZEWA SIKU.. Sinto fahamu iliyokwamisha kwa zaidi ya miaka 10 ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kwanzia Maeneo ya Mianzini jijini Arusha kuelekea ngaramatoni Arumeru ikiwa km 18 na kuungana na barabara ya kuelekea Mpakani mwa kwenya na Tanzania Namanga hasa katika eneo la mita 200 linalotenganisha Jiji la Arusha na Halmashauri ya Arusha DC hatimaye leo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amefika hapa kwaajili ya kuondoa mkwamo huo na kuwaeleza wananchi ukweli juu ya barabara hiyo na maeneo yanayo paswa kutanuliwa ili kupisha barabara hiyo yapo kisheria tangu mwaka 1932 barabara hiyo ilivyo sajiliwa. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

TUNAPASWA KUSHUKURU

1903585
9524
1822
00:05:50
30.04.2022

Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga kutoka Parokia ya Familia Takatifu - Njiro , Arusha, Jimbo kuu katoliki la Arusha wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu wa shukrani unaoitwa TUNAPASWA KUSHUKURU. Wimbo huu umetungwa na Angelo Kitosi na Kurekodiwa na studio za RAJO Productions - Arusha. Please support: 🤍 Kwa mawasiliano na kwaya hii, tumia namba

BWANA UNIBADILI_ Kwaya ya Mt.Maria Goreth_Chuo kikuu- Ushirika - Moshi

13532224
23052
2435
00:05:18
04.04.2018

Hii ni Kwaya ya Mt. Maria Goreth kutoka Chuo kikuu cha Ushirika - Moshi. BWANA UNIBADILI ni wimbo uliobeba jina la album yenye nyimbo za kumsifu na Kumtukuza Mungu. Tuungane nao katika kusitazama kazi hii. Waweza pia kuwa wakala wa kuisambaza kazi hii na endapo utataka kuwasiliana nao, tumia namba hizi: +255 654 369 810 au +255 621 065 005 Tunaposikiliza Wimbo huu tuombe kwa Mungu tuzijue Habari zake Habari za Mungu Mwana, Habari za Yesu, tuweze kufuata kwa vitendo njia za Yesu kristo. Tuendelee kusikiliza na Kutazama Maneno Matamu ya wimbo huu na Mungu azidi kutubariki. Amen #kwayakatoliki

ARUSHA WAZEE WAKAMATWA KWENYE VIJIWE VYA WAVUTA BANGI, DC MTANDA APIGA SIMU KWA WATOTO WAO..

29268
189
86
00:06:04
11.11.2022

ARUSHA WAZEE WAKAMATWA KWENYE VIJIWE VYA WAVUTA BANGI, DC MTANDA APIGA SIMU KWA WATOTO WAO.. Kamata kamata ya vijana na watu wanaotuumiwa kijihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya inaendelea jijini Arusa... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

WAHADZABE WAPEWA NYAMA ARUSHA ILI WAHESBIWE SENSA, RC ASEMA SIO RUSHWA

3884
37
10
00:02:45
24.08.2022

WAHADZABE WAPEWA NYAMA ARUSHA ILI WAHESBIWE SENSA, RC ASEMA SIO RUSHWA WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAJENGA HOSPITALI YA KUFUNZIA WANAFUNZI NA TIBA, RC MONGELA APAGAWA

469
4
0
00:03:07
01.11.2022

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAJENGA HOSPITALI YA KUFUNZIA WANAFUNZI NA TIBA, RC MONGELA APAGAWA WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

MSHIPI - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania - Sms SKIZA 7012622 to 811

6962759
14811
930
00:06:04
18.11.2013

Get It On: Spotify: 🤍 Deezer: 🤍 Amazon: 🤍 Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana Ni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu {Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu aha! Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu aha! Naye anaifanya kamilifu njia yangu } *2 Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu Katika shida zangu nilimwita Bwana ee Bwana Na kumlalamikia Mungu ee Mungu Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake Kilio changu kikaingia masikioni mwake Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu Akanilipa sawasawa na haki yangu Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa Hivyo nitaokoka na adui zangu.

KIDOLE JUU - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha Tanzania - Sms SKIZA 7472325 to 811

1055518
2531
187
00:07:54
28.01.2019

Hayo mliyofunuliwa, bila kuyalipia kitu, Nayo ndiyo yale mliyotumwa, Kwenda kwa walio wadogo Mungu alowatunukia awe mkuu peke yake {Jiulize} nani kwenu {aliyeomba} kuzaliwa! {Jiulize tena} nani kwenu {anayejua} siku ya kufa! Hakuna! Hakuna! ha! Hakuna jambo mnalomiliki hapa duniani Yote mliyo nayo yana mwenyewe mnamjua Naye amewapa haya kusudi mtumikiane Ili kusiwepo na matabaka miongoni mwenu Hiyo ndiyo hekima - ee aa ee Hiyo ndiyo hekima - Ndugu hiyo ndiyo hekima ya kweli } x2 Kama mliyo nayo yote yangekuwa yenu Hiyo pumzi mnayojivunia wapendwa, Isingekuwa inakiogopa kichomi Ingeendelea hata palipo kichomi! Uzuri wa sura zenu zenye ngozi laini Inakuwaje hamuwezi kuuelekeza, Usiungue hata kwenye maji ya moto Na usioze unapolala kaburini! Elimu na vyeo vyenu na mamlaka yenu Akili nyingi ufundi navyo vipaji vyenu, Mbona hamvitumii nyi mkiwa usingizini Na mnaota ndoto sawa na za watoto! Basi mimi, ninahimizwa, kujiepusha, kujiinua Nijishushe, mbele ya wote, Wawe wakubwa, au wadogo Nisijiinue kati ya watu hata siku moja, Badala yake nijinyenyekeze ili nifikike, Akihitajika atakayewatumikia watu Niinue kidole juu kusudi wanitume mimi, daima Kidole juu kusudi wanitume mimi Kidole juu, kuitikia wito daima Kidole juu, kusudi wanitume mimi Na nikitumwa niwe mwaminifu daima Kidole juu, kusudi wanitume mimi Kidole juu wanitume na Mungu atukuzwe daima Kidole juu, kusudi wanitume mimi Kidole juu, kidole juu, leo Kidole juu, kusudi wanitume mimi Kidole juu, kidole juu, daima Kidole juu, kusudi wanitumie mimi, milele!

RC ARUSHA AKIWA MASHAMBANI APIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO, RPC APOKEA

8025
25
27
00:05:19
23.07.2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.John Mongella amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kuachana na mikusanyiko isiyo ya halali na kutumia barakoa kujikinga na ugonjwa wa korona, ambao unasumbua dunia katika kipindi hiki. Ametoa kauli hiyo katika ziara yake na wadau wa kilimo cha matunda, mboga mboga, na kilimo cha maua katika iliyoandaliwa na TAHA wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha.

UZINDUZI ROYAL TOUR ARUSHA, HALI ILIVYO na MAANDALIZI YANAYOENDELEA, RC MONGELA AELEZEA

3615
29
6
00:04:18
25.04.2022

UZINDUZI ROYAL TOUR ARUSHA, HALI ILIVYO na MAANDALIZI YANAYOENDELEA, RC MONGELA AELEZEA Filamu ya Royal Tour iliyotengenezwa kwaajili ya kutangaza vivutio Vya utalii vya Tanzania, baada ya kuzinduliwa Marekani, sasa Kwa mara ya Kwanza itazinduliwa nchini Ndani ya Jiji la Arusha na Rais Wa Tanzania Samia Suluhu. Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha John Mongela amesema maandalizi yanakwenda vyema na itazinduliwa siku ya Tarehe 28, Aprili 2022 katika kituo Cha kimataifa Cha Mikutano Arusha - AICC WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

RC AIBUKA NA MACHINGA ARUSHA "TUTAWAPANGA, INATUMIKA KAMA SIASA"

4569
18
8
00:05:26
15.09.2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema watashirikiana na wafanyabiashara na wadau wengine ili kuweza kuwapanga wamachinga huku akionya wanaopotosha nakutumia jambo hilo kama siasa.

RC Arusha kukutana na wamiliki wa malori ya mizigo kujadili hali mipakani

400
4
0
00:02:19
26.05.2020

Jijini Arusha mchana wa leo kunafanyika kikao maalumu cha mrejesho wa maajadiliano ya watendaji katika nchi za Tanzania na Kenya katika kumaliza suluhu ya migongano iliyokuwa ikijitokeza awali hasa katika upimaji wa ugonjwa wa #Covid-19 kwa madereva wa magari ya mizigo kutoka nchi zote mbili. #AzamTVUpdates #AzamNews Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

WEMA WAKO WA AJABU (4k)

770805
5805
2054
00:04:32
20.08.2022

Hakuna jambo tunaloweza kulifikia katika maisha kama sio kwa Wema wa Mungu. Huruma ya Mungu kwetu ni Kubwa sana na ndiyo sababu tunapaswa kumshukuru kwa wema wake kwetu. Ungana nami katika wimbo huu unaoitwa WEMA WAKO WA AJABU. Wimbo huu umetungwa naye Angelo Kitosi, na kurekodiwa katika studio za RAJO Productions. Kinanda Kimechezwa na Ray Ufunguo. Liturgical dance imefanywa na kikundi cha ARUSHA ELITE DANCERS. Mungu wa Mbinguni atubariki sana. Tradition: “Hehe Melody” #trending #catholicgospelmusic #rajoproductions #anastaciamuema

RC Arusha on AGRICULTURE DEVELOPMENT TANZANIA

361
0
0
00:01:32
10.07.2013

Agriculture is the backbone of Tanzanians economy hence Mr Magessa Mulongo the Regional COMMISSIONER for Arusha Region urges SARI researchers to work hard to improve farmers in agric production for giving them new technologies which will help them to produce more

ASANTE YESU

2743200
8284
1303
00:06:06
11.09.2021

Kwaya ya Mtakatifu Maria Magdalena kutoka kigango cha Mtakatifu Luka Mwinjili,Olmatejo Parokia ya Roho Mtakatifu - Ngarenaro Arusha.Wanatukaribisha kushiriki kutazama na Kusikiliza wimbo huu wa Kumshukuru Mungu.Wimbo huu ni utunzi wake Ray Ufunguo. Audio na video vimefanywa na RAJO Productions. Please support 🤍 #rajoproductions #miminaneema #rajoproductions #asanteyesu

JEMEDARI WA MBINGU_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Kijenge Arusha

823728
1657
275
00:09:39
19.02.2019

Jemedari wa Mbingu, ni wimbo uliobeba jina la album yenye nyimbo za kumsifu Mungu. Album hii ipo sokoni sasa na inapatikana mikoa yote. Wasiliana nao leo kupitia namba +255 754 886 290 au +255 754 962 559 #kwayakatoliki

MAGUFULI AMUONDOA GAMBO / AMTEUA KIMANTA KUWA RC ARUSHA

3996
25
12
00:01:33
19.06.2020

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

BAADA YA RAIS KUZINDUA MKAKATI WA SENSA, RC ARUSHA AANZA NA WANANANCHI

897
5
4
00:06:10
20.09.2021

Mkuu wa mkoa wa Arusha amewataka wananchi wanaoishi katika tarafa ya masusu wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kujiweka tayari kwa ajili ya zoezi la sensa linalotarajia kuanza mwaka 2022 ambapo amesema itasaidia Serikali kupanga mipango kwa wananchi

MAANDAMANO Nje ya OFISI ya RC ARUSHA, Wapaza SAUTI Kwa RAIS SAMIA - "TUMECHOKA Haya MAISHA"..

3799
30
27
00:06:30
10.05.2021

MAANDAMANO Nje ya OFISI ya RC ARUSHA, Wapaza SAUTI Kwa RAIS SAMIA - "TUMECHOKA Haya MAISHA".. Wafanyakazi wa Hoteli za Impala na Naula za jijini Arusha wamekusanyika nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa wakiomba kusikilizwa kilio cha. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

RC ARUSHA AKERWA NA UKOSEFU WA MAJI ARUSHA "UNAKATA TAMAA, BADO KAZI NI KUBWA"

3334
23
5
00:07:55
11.03.2021

Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta amewataka watendaji wa serikali wanaosimamia miradi ya maji kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa miundombinu ya maji kwani kumekuwa na maeneo mengi ambayo hayana maji

MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO

19937389
44118
3255
00:05:42
18.07.2016

Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 au +255 743 731 937 Miongoni mwa nyimbo bora za Kwaya Katoliki, tusikilize na Kutazama kwa afya ya Roho zetu. Tusikilize sauti tamu na Maneno Matamu kutoka kwa wanakwaya hawa. Mungu atubariki sote. Tunapoendelea kuomba Mungu amimine neema kwetu, tuendelee pia kuzitafuta habari zake, habari za mwana wake Yesu Kristo, Habari za Yesu. #kwayakatoliki

Назад
Что ищут прямо сейчас на
RC ARUSHA rampage zengibar kulaklık мафия со стримерами BLIND Psycho бот для торговли криптой Es проводник настройка obs видео SHELLY mc kevin x mc hariel x mc livinho HAProxy 戸塚 врата льва alhilal врата льва когда music producer desk HYPOKALEMIA lcd problem wolcen aura build boneca lol surprise omg Grime