Ngao ya jamii

Ngao ya jamii смотреть последние обновления за сегодня на .

Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022

2728860
11027
1495
00:23:51
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho. Haya hapa magoli yote....

Magoli | Yanga 2-1 Simba | Ngao ya Jamii 13/08/2022

1023539
4482
474
00:04:32
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho. Haya hapa magoli yote....

Simba SC 0-1 Yanga SC | Full Highlights | Ngao ya Jamii 25/09/2021

1440174
4420
546
00:25:55
25.09.2021

SIMBA VS YANGA: Yanga wameshinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuwatandika watani zao Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa hivi punde kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele dakika ya 12. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Goli pekee la Yanga | Simba 0-1 Yanga | Ngao ya Jamii 25/09/2021

1326371
3318
295
00:01:32
25.09.2021

Yanga wameshinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuwatandika watani zao Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa hivi punde kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele dakika ya 12. Kinachoendelea muda huu ni sherehe za mabingwa wapya Yanga kukabidhiwa taji lao Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Yanga walivyokabidhiwa Ngao ya Jamii 2022 baada ya kuichapa Simba 2-1

152143
965
103
00:03:25
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba 2-1 kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mwisho wa mchezo ndivyo washindi Yanga walivyopokea Ngao yao ikiwa bado mpya kabisa.

Tazama Yanga walivyowachezea Simba soka la kitabuni | Ngao ya Jamii 25/09/2021

1216281
3038
264
00:05:31
26.09.2021

SIMBA 0-1 YANGA: Ukisikia kuna watu waliupiga mwingi, hii ndiyo maana yake. Kuna wakati ilipikwa ‘biriani’, zikapigwa ‘sambusa’, boli likagongwa moja moja lakini mabeki wakafanya kazi yao. Hebu pata burudani kidogo. Je, hili ‘pira’ tulipe jina gani? #NgaoYaJamii2021 Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

BENARD MORRISON AKIWACHETUA WANAMSIMBAZI 🤣

101717
315
17
00:04:05
14.08.2022

BENARD MORRISON VS SIMBA SC |NGAO YA JAMII 2022 #morrisons #yangasc

Yanga 2-1 Simba | Magoli yote kwa lugha ya Kiingereza | Ngao ya Jamii 13/08/2022

287026
1277
109
00:05:41
14.08.2022

KARIAKOO DERBY: Haya hapa magoli yote matatu kama yalivyotangazwa kwa lugha ya Kiingereza na Peter Otai. Ni mechi ya #NgaoYaJamii2022 iliyopigwa Agosti 13, na Yanga kuichapa Simba 2-1 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

SIMBA 0-1 YANGA | Sherehe za ubingwa Yanga wakikabidhiwa taji lao | Ngao Ya Jamii 25/09/2021

219326
1254
136
00:22:11
25.09.2021

Yanga wameshinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuwatandika watani zao Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa hivi punde kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele dakika ya 12. Kinachoendelea muda huu ni sherehe za mabingwa wapya Yanga kukabidhiwa taji lao Tuko LIVE #AzamSports1HD tangu asubuhi. Tufuatilie pia kwenye mitandao ya kijamii; ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

YANGA vs SIMBA | Timu zilivyowasili dimbani Benjamin Mkapa | Ngao Ya Jamii 13/08/2022

34107
226
14
00:04:40
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Hivi ndivyo timu zote mbili zilivyowasili katika Dimba la benjamin Mkapa tayari kuumana katika #KariakooDerby ya #NgaoYaJamii inayopigwa saa 1:00 usiku. Ni Yanga vs Simba

FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC (NGAO YA JAMII 17/8/2019)

635043
1669
241
00:46:54
17.08.2019

Miamba ya soka nchini Tanzania, Simba SC na Azam FC zimemenyana vikali kwenye mchezo wa kuwania NGAO YA JAMII ikiwwa ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania. Kwenye mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam na kurushwa MBASHARA na #AzamSports2 Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 huku mabao yake yakifungwa na Shiboub (2) na wengine wakiwa ni Chama na Kahata. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Chilunda na Domayo.

YANGA SC (2) VS SIMBA SC (1) - MCHEZO WA NGAO YA JAMII

187686
571
6
03:13:07
13.08.2022

Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : 🤍 Instagram : 🤍 YouTube : 🤍

Simba 0-1 Yanga | Tazama kosakosa na mashambulizi makali | Ngao ya Jamii 25/09/2021

305118
890
80
00:10:50
26.09.2021

SIMBA VS YANGA: Tazama kosakosa na mashambulizi ya nguvu kutoka kwenye game ya jana iliyoshuhudia Yanga wakishinda taji la Ngao ya Jamii kwa kumpiga Simba bao 1-0. Ilikuwa ni mechi ya kiume. Je, kwa mashambulizi haya, unadhani Simba wangeongezewa dakika ngapi ili wachomoe bao? Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

SHABIKI WA SIMBA AMWAGA MACHOZI KISA FISTON MAYELE NGAO YA JAMII SIMBA VS YANGA

5391
15
7
00:09:41
14.08.2022

HAWA HAPA MASHABIKI WA SIMBA WAKILIA BAADA YA TIMU YAO KUCHAPWA VIBAYA MNO NA YANGA KATIKA MECHI YA NGAO YA HISANI

MAKOSA YA SIMBA NGAO YA JAMII: UFUNDI | MBINU | NABI vs MAKI

25913
153
15
00:11:45
16.08.2022

#Yanga #Simba #NgaoYaJamii

WAOOOOH YANGA TAMU/UTACHEKA VITUKO VYA MORRISON/MAYELE NDIO KAPAGAWA/MABINGWA/NGAO YA JAMII

1099
0
00:06:17
13.08.2022

MABINGWA wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara Timu ya Yanga imepindua meza baada ya kuongozwa bao mpaka kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani zao Simba mchezo wa Ngao ya Jamii ya kuashiria kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu mechi iliyopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Simba walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 15 likifungwa na Kiungo Mshambuliaji Pape Sakho akipokea pasi Clatous Chama hadi mapumziko Simba walienda wakiwa wako mbele ya bao moja. Kipindi cha pili Yanga walifanya mabadiliko kwa kuwaingiza Bernard Morrison na Jesus Moloko mnamo dakika ya 49 Mshambuliaji hatari Fiston Mayele,aliisawazishia Ysnga akipokea pasi ya Khalid Aucho Mayele tena alirudi nyavu mnamo dakika ya 80 baada ya kupokea pasi ya Dickson Job na kuwanyanyua mashabiki wa Yanga. Kwa ushindi huo Mayele ameipatia taji la kwanza la Ngao ya Jamii msimu wa 2022/23 baada ya mwaka jana kufunga bao moja na kuipa taji tena

🔴LIVE: YANGA WALIVYOBEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII MBELE YA WACHEZAJI WA SIMBA

5755
38
5
00:10:12
13.08.2022

Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Instagram: 🤍 Google Plus: 🤍

Azam TV – Historia ya mchezo wa Ngao ya Jamii na misukosuko yake

10916
45
3
00:07:55
19.08.2017

Kila inapokaribia kuanza ligi kuu Tanzania Bara, huchezwa mechi ya kusisimua ijulikanayo kama Ngao ya Jamii. Unajua asili ya mchezo huo? Ungana na mtangazaji mahiri wa Azam TV, Charles Hilary, kwenye simulizi tamu.

YANGA vs SIMBA | Goli la Pape Sakho akiwatanguliza Simba | Ngao ya Jamii 13/08/2022

67629
451
47
00:01:30
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Ni dakika ya 16 Simba wanapata bao kupitia kwa Pape Ousman Sakho akimalizia pasi ya Clatous Chama. Ni #NgaoYaJamii2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Magoli Yote Simba vs Yanga, Ngao Ya Jamii

30
1
0
00:00:22
13.08.2022

#simbasportsclub #yanga #ngaoyajamii

🔴 Uchambuzi wa Mechi ya Simba Vs Yanga | ngao ya Jamii Tarehe 13-08-2022 || Highlights || PART 01

906
11
0
00:14:52
13.08.2022

Live 🔴 Mechi ya Simba Vs Yanga | ngao ya Jamii Tarehe 13-08-2022 || Highlights #SportsCode #BrainUjazo #azamtv #simba #simbasc #yanga #yangasc #yanganasimba #simbatanzania #yangatv #tff #azamtv #azamsports2 #azamsports #cafinal #ngaoyajamii #Daudatv #kitengetv #mpenjatv #wasafi #wasafitv #wasafifm

Tazama Yanga Walivyokabidhiwa Ngao ya Jamii Baada ya Kuichapa Simba 2-1

675
4
1
00:05:50
13.08.2022

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU 🤍 INSTAGRAM 🤍 FACEBOOK 🤍 TWITTER 🤍

Matukio 10 Yaliyozua Utata Mkubwa Ngao Ya Jamii ‘Ushirikina Watawala, Refa Alifanya Makosa....’

3354
4
0
00:04:14
14.08.2022

#HAJIMANARA #YANGASC #SIMBASC #YANGA #SIMBA #MODEWJI #GSM #TFF #NBCPL #AZAMTV #PSL #AMAZULU #DSTV #PSL2022 #TPMAZEMBE #ZAMBIA #TANZANIA #KAIZERCHIEFS #ORLANDOPIRATES #CAF #CAFCC #CAFCL #RAJACASABLANCA

📍UTABIRI WA MECHI YA LEO NGAO YA JAMII YANGA SC VS SIMBA SC

155
0
0
00:04:16
13.08.2022

Video hii inaelezea utabiri wa mechi ya yanga sc na Simba sc uwanja wa benjamini Mkapa, Yonksmedia ni online tv inayojihusisha na📍UTABIRI WA MECHI YA LEO NGAO YA JAMII YANGA SC VGS SIMBA SC kukujulisha habari za kweli na uhakika zinazojiri toka pande zote za dunia na kuelimisha mambo mbalimbali ambayo yanamanufaa kwako mfano vitu vya kuzingatia katika ufugaji wa kuku wa mayai au nyama, mambo ya kuzingatia kabla haujafungua biashara yako na mengine mengi. NA MENGINE MENGI YA KUELIMISHA JAMII NA MTU MMOJA MOJA KWA MOJA . Yonksmedia ni sehemu ya yonksbrand. Yonksbrand imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Yonksmendia na Yonksmusic (music record label). JIUNGE NASI KATIKA MAGROUP YETU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII #simbasc #yangasc #yangavssimba #uchambuziwamechizaleo #ligikuutanzaniabara #ligikuutanzania #nbcsportspremierleague #ufmradiolive #matukioyaleotanzania #cafchampionsleague #yonksmedia #ysports #habarizamichezo #nbcpremierleague #ligikuu - KWA WATUMIAJI WA TELEGRAM: Telegram tumia link hii- 🤍 KWA WATUMIAJI WA FACEBOOK : Facebook tumia link hii 🤍 KWA WATUMIAJI WA WATSAPP: Tumia link hii 🤍 KWA WATUMIAJI WA INSTAGRAM: Tumia link hii- 🤍 JE? NAWEWE UNA HABARI, MAFUNZO YOYOTE YATAKAYO ELIMISHA JAMII AU UNATAKA KURUSHA KIPINDI CHAKO KUPITIA YONKSMEDIA WASILIANA NASI SASA- KARIBU TENA YONKSMEDIA KWA HABARI ZA UHAKIKA, MATUKIO YA UHAKIKA NA KUELIMIKA NA MAMBO MBALI MBALI YANAYO JADILIWA KUHUSU MAISHA YA KILA SIKU.

REKODI YA AINA YAKE MECHI ZA NGAO YA JAMII SIMBA VS YANGA

4816
69
3
00:03:22
21.09.2021

WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Yaliyojiri Ngao ya Jamii Yanga 3 - 0 AzamFC

427465
862
33
00:05:12
16.09.2014

JAJA kinara wa mchezo!!

STEPHAN AZIZ KI VS SIMBA

19113
86
2
00:02:41
14.08.2022

Mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya simba yanga ilishinda goli mbili moja magoli ya yanga yalifungwa na fiston mayele na goli la Simba lilifungwa na pape osmane sakho ,stephan aziz ki alitoa pasi ya mwisho kwenye goli la kwanza la yanga

YANGA WATAMBA NA NGAO YA JAMII TAZAMA FULL VIDEO

80
3
0
00:11:08
13.08.2022

SUBSCRIBE GO BACK TV

SIMBA NA YANGA USO KWA USO NGAO YA JAMII 2022-2023

1230
3
0
00:01:38
28.06.2022

RATIBA YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU 2022-2023

Назад
Что ищут прямо сейчас на
ngao ya jamii ЛЕТА Xiaomi Mijia Soocas C1 enahcarol dinda hauw isuzu mux bekas Freunde verveer Реклама Ozon DEMBOW prerana asmr ear cleaning asmr kfc pake saos samyang ДОШИРАК БУРГЕР побег из тюрьмы а4 couvre feu веганство с чего начать pubg mobile скачать spl drumxchanger alizairov