AZAM VS SIMBA

AZAM VS SIMBA смотреть последние обновления за сегодня на .

Azam 1-0 Simba | Highlights | NBC Premier League 27/10/2022

267210
1345
291
00:20:15
27.10.2022

Azam FC imevunja mwiko wa miaka sita baada ya kuifunga Simba bao 1-0 ukiwa ni ushindi wake wa kwanza baada ya mechi 11 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Goli lililoamua mchezo huu limetoka kwa Prince Dube dakika ya 35, akimtundika Aishi Manula kwa shuti la upinde...

Goli la Dube | Azam 1-0 Simba | NBC Premier League 27/10/2022

89529
636
95
00:01:48
27.10.2022

Azam FC imevunja mwiko wa miaka sita baada ya kuifunga Simba bao 1-0 ukiwa ni ushindi wake wa kwanza baada ya mechi 11 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Goli lililoamua mchezo huu limetoka kwa Prince Dube dakika ya 35, akimtundika Aishi Manula kwa shuti la upinde...

Azam 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 18/05/2022

156867
766
97
00:18:05
18.05.2022

Simba na Azam wametoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, leo Mei 18, 2022. Azam wametangulia kwa bao la Rodgers Kola dakika 38, lakini Simba wakachomoa dakika ya 45 kupitia kwa John Bocco.

Highlights | Simba SC 2-1 Azam FC | NBC Premier League - 01/01/2022

582830
1731
125
00:25:28
02.01.2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Simba SC ikinyakua pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC dimbani Benjamin Mkapa baada ya kushinda mabao 2-1. Mabao ya Simba SC yamefungwa na Sadio Kanoute na Pape Sakho Bao la Azam FC limefungwa na Rodgers Kola

Polisi Tanzania 1-3 Simba | Highlights | NBC Premier League 27/11/2022

166575
939
105
00:14:23
27.11.2022

Mnyama Simba SC amepata ushind wa mabao 3-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi..... Moses Phiri amefunga magoli mawili yote akipata assist kutoka kwa Clatous Chama dakika ya 43 na 53, na goli lingine limetoka kwa John Bocco dakika ya 32. Goli pekee la kufutia machozi kwa Polisi Tanzania limetoka kwa Zuberi Khamis Mbogo dakika ya 90.

Azam FC 2-3 Simba SC - Highlights

886106
2092
229
00:21:40
04.03.2020

Timu ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa leo (04/03/2020) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Erasto Nyoni, Deo Kanda na Medie Kagere wakati Azam wakijipatia mabao yao kupitia kwa Never Tigere na Idd Selemani Nado. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC: MAGOLI YOTE: (NGAO YA JAMII: 17/8/2019)

3743017
8462
717
00:08:21
17.08.2019

Simba SC imetwaa NGAO YA JAMII kwa kuichakaza Azam FC kwa mabao 4-2 huku usajili mpya wa wachezaji wa Simba SC ukifanya vizuri. Shaaban Chilunda ameanza kuonyesha makucha yake kwa kufunga goli baada ya kurejea nyumbani akitokea Hispania. Mchezo ulikuwa LIVE Azam Sports 2.

AZAM FC 1-3 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 22/02/2019)

530410
1341
125
00:28:57
22.02.2019

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea kutafuna viporo vyao baada ya leo kuichapa Azam FC kwenye mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere aliyefunga mawili dakika ya 5 na 78, huku bao lingine likifungwa na John Bocco dakika ya 39. Goli pekee la Azam limefungwa na Frank Domayo dakika ya 81 huku bao lao lingine likikataliwa na mwamuzi.

Highlights | Azam FC 0-1 Simba SC | Nusu Fainali ASFC 26/06/2021

251839
642
76
00:24:07
27.06.2021

AZAM VS SIMBA 0-1 : Tazama jinsi Simba walivyotinga fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa goli la maajabu kutoka kwa Luis Miquissone baada ya Bernard Morrison kuanzisha kwa haraka mpira wa kutenga (free-kick) dakika ya 89. Katika mchezo huu wa nusu fainali, Simba imeitandika Azam FC bao 1-0 kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Highlights | Simba na Azam walivyokabana koo na kutoka sare ya (2-2) VPL 07/02/2021

399043
870
154
00:29:10
07.02.2021

Simba na Azam wamekabana koo na kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Luis Miquissone pamoja na Luis Miquissone wakati Azam wakipata mabao yao kupitia kwa Idd Seleman 'Nado' pamoja na Ayoub Lyanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Azam FC 2-3 Simba SC | Magoli, utata wa penati na utata wa off-side - VPL 04/03/2020

399862
1274
345
00:08:50
04.03.2020

Mnyama Simba ameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Erasto Nyoni, Deo Kanda na Medie Kagere wakati Azam wakijipatia mabao yao kupitia kwa Never Tigere na Idd Selemani Nado. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Magoli | Polisi Tanzania 1-3 Simba | NBC Premier League 27/11/2022

162874
955
85
00:04:21
27.11.2022

Mnyama Simba SC amepata ushind wa mabao 3-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi..... Moses Phiri amefunga magoli mawili yote akipata assist kutoka kwa Clatous Chama dakika ya 43 na 53, na goli lingine limetoka kwa John Bocco dakika ya 32. Goli pekee la kufutia machozi kwa Polisi Tanzania limetoka kwa Zuberi Khamis Mbogo dakika ya 90.

Yanga 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 23/10/2022

792610
4134
618
00:23:19
23.10.2022

Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45.

Mbeya City 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 23/11/2022

123144
611
132
00:18:14
23.11.2022

Simba SC imekabwa koo na Mbeya City kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Simba wametangulia kwa goli la Mzamiru Yassin dakika ya 15 na Mbeya City kuchomoa dakika ya 79 kupitia kwa Tariq Seif.

Magoli | Azam FC 3-2 Coastal Union | NBC Premier League 27/11/2022

111373
601
130
00:07:10
27.11.2022

Ilikuwa ni mechi ya tamu, mechi ya magoli matano... Idd Seleman Nado akifunga goli dakika ya 90+9 na kuipa ushindi Azam FC dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Coastal walitangulia kwa goli la Maabad Maulid dakika ya 13 kabla ya James Akaminko kuisawazishia Azam dakika ya 56 lakini Hamadi Majimengi alifunga bonge la goli dakika ya 85 na kufanya mambo yawe 2-2. Baada ya hapo, Idd Seleman akapeleka msiba Tanga.... Tazama mambo yalivyokuwa...

Simba yaupiga mwingi na kuilamba Azam 2-0 robo fainali ASFC - Tazama highlights

755116
2138
231
00:17:09
01.07.2020

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC , mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam sports uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco na Clatous Chama. Tazama highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Penati tatu za dhahabu zilizoinyanyua Simba na kuivua Azam Kombe la Mapinduzi

2580969
4426
344
00:07:26
10.01.2020

Simba SC wametinga fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2020 kwa mikwaju ya penati 3-2 dhidi ya Azam FC baada ya dakika 90 kumalizika bila bao na kuivua rasmi ubingwa Azam FC. Katika mechi hiyo ya nusu fainali iliyopigwa kwenye dimba la Amaan Zanzibar, Simba wamefunga penati zao kupitia kwa Erasto Nyoni, John Bocco na Jonas Mkude huku penati za Azam zikifungwa na Yakubu Mohamed na Bruce Kangwa. Waliokosa penati upande wa Simba ni Sharaf Shiboub na Medie Kagere zote zikipanguliwa na golikipa Razak Abalora, kabla yay eye mwenyewe Abalora kukosa penati yake iliyodakwa na Beno Kakolanya. Wengine waliokosa ni Idd Kipagwile na Donald Ngoma. 10/1/2020

Magoli yaliyovunja 'unbeaten' ya Yanga wakipigwa 2-1 na Ihefu | NBC Premier League 29/11/2022

226859
1323
225
00:05:16
29.11.2022

Hatimaye Ihefu SC wamevunja mwiko wa Yanga kutopoteza mchezo katika mechi 49, wakiwatandika 2-1 kwenye Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Yanga wametangulia kwa goli la Yanick Bangala dakikaya 9, kabla ya Never Tigere kusawazisha kwa free-kick dakika ya 39... Lakini Lenny Kissu akafunga kona iliyopigwa na Never Tigere dakika ya 62. Mara ya mwisho Yanga kupoteza mchezo wa ligi kuu ilikuwa ni Aprili 25, 2022.

Yanga 2-2 Azam | Highlights | NBC Premier League 06/09/2022

388776
1775
232
00:22:09
06.09.2022

Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77. Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.

Magoli | Azam 1-1 Simba | NBC Premier League 18/05/2022

114874
676
55
00:03:09
18.05.2022

Simba na Azam wametoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, leo Mei 18, 2022. Azam wametangulia kwa bao la Rodgers Kola dakika 38, lakini Simba wakachomoa dakika ya 45 kupitia kwa John Bocco.

GOLI LA AZAM WAKIICHAPA SIMBA DUBE ALITAKA KUMUUA MANULA AZAM (1-0) SIMBA HAWAAMINI MACHO YAO

31218
56
24
00:02:41
27.10.2022

#SimbaSc #Simba #AzamaFc #AzamVsSimba #SimbaVsAzam

Simba vs Sevilla Match Highlights - National Stadium Dar es Salaam

1481758
2818
118
00:03:59
27.05.2019

Highlights of the LaLigaWorld tour fixture between Simba Sports Club and Sevilla Football Club at the National Stadium in Dar es Salaam.

Magoli ya Bocco na Chama | Simba 2-0 Azam - Robo fainali ASFC

34658
232
36
00:02:33
01.07.2020

Magoli mawili kutoka kwa John Bocco na Clatous Chama yametosha kuipeleka Simba nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kwa kuichapa Azam FC 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Magoli yote Simba SC ikiichapa Azam FC mabao 2-1 |NBC PL -01/01/2021

464497
2217
194
00:08:49
01.01.2022

Tazama magoli yote wakati Simba SC ikinyakua pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC dimbani Benjamin Mkapa baada ya kushinda mabao 2-1 Mabao ya Simba SC yamefungwa na Sadio Kanoute na Pape Sakho Bao la Azam FC limefungwa na Rodgers Kola

Kosakosa za hatari kwenye mechi ya Azam FC vs Simba SC

12018
52
2
00:04:26
19.05.2022

#MzizimaDerby: Tazama kosakosa hizi za ‘kibabe’ zilizotokea kwenye mtanange kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC huku kocha Pablo Franco akiporomosha vionjo vyake.

Magoli | Mbeya City 1-1 Simba | NBC Premier League 23/11/2022

109569
612
128
00:02:36
23.11.2022

Simba SC imekabwa koo na Mbeya City kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Simba wametangulia kwa goli la Mzamiru Yassin dakika ya 15 na Mbeya City kuchomoa dakika ya 79 kupitia kwa Tariq Seif.

SHABIKI WA YANGA ATEMA SHOMBO SIMBA KUFUNGWA NA AZAM

24851
151
20
00:03:52
27.10.2022

Telegram: 🤍 Subscribes:🤍 Instagram: 🤍 Facebook: 🤍 Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii 🤍

Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/11/2022

114887
571
79
00:18:45
09.11.2022

Simba na Singida Big Stars wamekabana koo na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Liti mkoani Singida. Deus Kaseke ndiye aliyeitanguliza Singida kwa goli la dakika ya 11 lakini Simba wakapata moto kipindi cha pili na kuchomoa bao dakika ya 59 kupitia kwa Peter Banda.

Magoli na kadi nyekundu | Simba 5-0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 30/10/2022

468918
2650
347
00:08:55
30.10.2022

Simba SC imeishushia kichapo kizito cha mabao 5-0 Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Pape Ousmane Sakho amefunga magoli mawili dakika ya 48 na 90 huku mengine yakitoka kwa Mzamiru Yassin dakika ya 38, Augustine Okrah dakika ya 63 na Moses Phiri dakika ya 73. Katika mchezo huo pia, wachezaji wawili wa Mtibwa Sugar Pascal Kitenge na Cassian Ponera walitolewa kwa kadi nyekundu kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana.

AZAM FC (1) VS SIMBA SC (0) - LIGI YA NBC

134633
473
2
02:48:38
27.10.2022

Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : 🤍 Instagram : 🤍 YouTube : 🤍

Simba 2-2 Azam | Magoli yote na penati ya Chama | VPL 07/02/2021

386801
1506
311
00:08:20
07.02.2021

Simba na Azam wamekabana koo na kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Luis Miquissone pamoja na Luis Miquissone wakati Azam wakipata mabao yao kupitia kwa Idd Seleman 'Nado' pamoja na Ayoub Lyanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Magoli Mayele | Yanga 2-0 Mbeya City | NBC Premier League 26/11/2022

132878
848
104
00:03:13
26.11.2022

Magoli mawili ya Fiston Mayele dakika ya 24 na 79 yameipa Yanga ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania #NBCPremierLeague ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Haya hapa magoli yote mawili.

🔴#LIVE: AZAM vs SIMBA - DERBY ya MZIZIMA, MOTO wa RODGERS KOLLA, KIBU na BOCCO, DK 90 za JASHO..

7130
18
3
00:23:05
18.05.2022

🔴#LIVE: AZAM vs SIMBA - DERBY ya MZIZIMA, MOTO wa RODGERS KOLLA, KIBU na BOCCO, DK 90 za JASHO.. KARIBU utazame uchambuzi wa zitakavyokuwa dakika 90 za mtanange wa ligi kuu bara kati ya AZAM FC vs SIMBA SC, utakaochezwa majira ya saa 1 jioni katika dimba la Azam Complex Chamazi... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

#live: AZAM (1) VS (0) SIMBA SC #simbaleo #azamsports #azamtv #mbiusautitv #nbcpl #nbcpremier

10587
20
1
00:00:36
27.10.2022

#mbiusautitv #simbasc #wasafimedia, #azamtv, #azamsports, #gsm, #yanga, #manaraufmradiotz 🤍BinaTv 🤍SimuliziNaSauti 🤍AFRICAN FOOTBALL FR 🤍NBC Premier League #tff #tanzania #simbasc #yanga #mashabikiwasimba #azam #bakhresa 🤍Mpenja TV 🤍Mbiu ya Sauti Kuu Tv #globaltv 🤍Global TV Online #sportsarena 🤍Wasafi Media 🤍Diamond Platnumz#midundoonlinemedia #Binatv #shutikali 🤍beIN SPORTS 🤍Shutikali TV 🤍DAUDA TV 🤍MIDUNDO ONLINE MEDIA 🤍Simba SC Tanzania 🤍Swahili Media 🤍Azam TV 🤍Azam Sports Media 🤍CAF TV#ndolazambia #africa 🤍BurkinaFaso Clips #congodrc #burkinafaso #azizki #inonga 🤍MIDUNDO ONLINE MEDIA #aboodfm 🤍tanfootball TV 🤍MCHAO TV 🤍Zbc Zanzibar 🤍nchimbisports #azamsports1hd #nbcpremierleague #sokaletubambam #ligikuu #mzizimaderby #azamsimba

#UCHAMBUZI WA Simba vs Polisi Tanzania |3-1 | Mechi NBC premier league Baada ya Simba kushinda.

2203
4
0
00:02:22
27.11.2022

#activemedia #okra #chama #okwa #mzungu #dejan #golilamzungu #goli #mzungu #magoliyote #sakho #mayele #azizki #feitoto #manula #okwa #millardayo #sportsarena #wasafitv #azamtv #azamtwo #barbara #harmonize #manula #singida #dario #singidabigstars #azmfc #mtibwasugar #geitagold #mzaramowasimba #MasauBwire #bwire #modewji #faini #caf #sportsarena #sportsnews #leo #dodomajijifc #azamfc #zakazakazi #msemaji #ahmedally #azamtv #azamsports #millardayo #azizi #stephaniekiazizi #simbaday #sikuyawananchi #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #uchambuziwaoscaroscar #sportsarenawasafi #magoliyote #goli #magoloyotesimba #magoliyoteyangaSimba, Ahmedy Ally, Semaji la caf, azamtv, Simba sc, Yanga live, Yanga sc, Yanga tv, Simba leo live, Simba, ali kamwe, privadinho Haji Manara, alikamwe leo, alichokisema, global tv, mpenja tv, Chama, Okwa, Okrah, Sakho, onyango, Aziz ki, mayele, Mzungu, Dejan, ayotv, Goli, Magoli yote, Simba dhidi ya, Magazeti ya leo,habari leo, Uchambuzi, wasafi sport arena, bigilimana, Dar24 news, Top5 media,malecom, active media, samia, barbra, mo deeji, eng Hersi said, CEO WA SIMBA, Mkataba, CAF,TFF #simba #simbaleo #usajili #ahmedally #alikamwe #privadinho #msemajiwasimba #ahmedallyleo #msemajiwayanga #mzungu #dejan #mkataba #magazeti #habarileo #ambagile #top5media #rockmedia #activemedia #mavalatv #swahilimedia #tamtamtv #winnermedia #bbcswahili #bmtvtanzania #mdahuuchannel #tetesizausajili #rickmedia #mbengotv #yangatv #simbatv #simba #sakho #mayele #azizki #feitoto #manula #okwa #millardayo #sportsarena #wasafitv #azamtv #azamtwo #barbara #harmonize #manula #singida #dario #singidabigstars #azmfc #mtibwasugar #geitagold #mzaramowasimba #MasauBwire #bwire #modewji #faini #caf #sportsarena #sportsnews #leo #dodomajijifc #azamfc #zakazakazi #msemaji #ahmedally #azamtv #azamsports #millardayo #azizi #stephaniekiazizi #simbaday #sikuyawananchi #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #uchambuziwaoscaroscar #sportsarenawasafi #magoliyote #goli #magoloyotesimba #magoliyoteyangasimba sc, simba sc tanzania, simba sc leo, simba sc live, simba sc vs nyasa big bullets, simba sc vs st george, simba sc tv, simba sc vs geita gold, simba sc vs kagera sugar, simba sc vs asante kotokosimba, simba queens, simba leo, simba queens vs green buffaloes, simba vs yanga, simba day live 2022, simba vs kmc, simba day, simba vs kagera sugar live leo, simba na yanga leo live#simba #simbaleo #usajili #ahmedally #alikamwe #privadinho #msemajiwasimba #ahmedallyleo #msemajiwayanga #mzungu #dejangeorgijevich #UCHAMBUZI FARHAN KIHAM, CHAMA NDIYE NAMBA 10 BORA AFRIKA, HAKUNA ANAYE MZIDI NAMBA, NABI ANAMTAMANI #wala #walatv #walatv #cloudsmedia #wasafimedia #magazeti #mwananchi #mwanasports #champion #yangasc #simbasc #diamondplutnumz #alikiba #harmonize #marioo #chelsea #mancity #nbc #epl #music #songs #juakali #kitimtim #azamtv #azamfc #messi #ronaldo #mpole #mayele #mwanza #diamond #mavala #biashara #mbeyakwanza #coastalunion #prisons #ruvushooting #mbeyacity #polisitanzania #chelsea #madrid #liverpool #paris #manchesterutd #arsenal #barcelona #azamsports #alahly #caf #orandopirates #mamelod #kaizercheifs #rsbercane #chipolopolo #nbcpremerleague #tff #mwanza #cask #adidas #nike #puma #millardayo #mpenjatv #mavalatv #ayomatv #ozil #benzema #messi #ronaldo #neymer #benzema #vinjr #werner #hazard #james #kdb #mpole #mayele #inonga #feytoto #golilafei #kibudenis #chama #bwalya #mkude #manula #beno #morrisoni #wawa #mwamnyeto #pablo #gomezi #maloko #aucho #ushindi #bangala #job #tips #sureboy #alahly #clubbingwaafrica #wydadybingwa #juakali #kitimtim #oka #worldcup #channel10 #azamtv #tv3 #huba #saidontibazonkiza #huba #juakali #bigsundaylive #sportsarena #sportscourt #sportsextra #edigital #mashamsham #goodmorning #xxl #jahazi #millardayo #marioo #barnaba #mwantumu #jambonavijambo #worldcup #manula #shabalala #kapombe #inonga #onyango #mkude #mzamiru #kanoute #bwalya #chama #sakho #banda #mhilu #morrison #kagere #mwanuke #mugalu #kibudenis #nyoni #diara #bangala #job #mwamnyeto #kibwana #shabanidjuma #aucho #yacuba #mayele #moloko #faridmusa #deuskaseke #sureboy #mpole #singidabigatars #dtb #azamfc #kagerasuger #mtibwasuger #biasharautd #dodomajiji #tetesizausajili #manzoki #uganda #tanzania #kenya #uganda #newsongs #babalevobirthday #babalevo #vidolezimbabwe #roma #kichampyaaimbaac #nabi #yangabingwa #kochaorlando #mossesphili #azizki #wananchi #odoah #mitindo #vunjabei #messi #magoliyamessi #magolimatanoyamessi #uefa #love #mapenzi #singidabigstar #okrah #simbaday #preseason #azizki #kambole #morrison #senzo #masaubwire #hajimanaranaraiswatff #sababuzasenzokuondoka #mayele #uaajilimpya #manzoki #phiri #ouattara #inonga #sopu #mpole usajiliazamfc #golilaokrah #golilamayele #golilaphiri #golilaazizki #golilakambole Ugomvi wa Manara na kalia, Senzo KUONDOKA Yanga, kocha mpya simba sc, benjamin mkapa

Magoli | Yanga 1-1 Simba | NBC Premier League 23/10/2022

292955
1645
332
00:03:56
23.10.2022

Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45. Haya hapa magoli.

Simba Sc vs Mtibwa Sugar | Uchambuzi | NBC Premier League -2022

49857
220
00:01:06
30.10.2022

#kikosichasimbaleo #simbasc #simbalive kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar academy, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar arena, kikosi cha simba kinacho cheza leo, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar bwana, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar cup, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar citizen, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar fc, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar highlights, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar pesa, kikosi cha simba leo dhidi ya mtibwa sugar results simbasc vs mtibwa sugar, simba sc vs mtibwa sugar, simba sc vs mtibwa sugar live, simba sc vs mtibwa sugar highlights, simba sc vs mtibwa sugar leo, simba sc vs mtibwa sugar fc, simba sc vs mtibwa sugar act, simba vs mtibwa sugar, simba vs mtibwa sugar leo, simbasc vs mtibwa sugar extended simba leo live, simba leo matokeo, simba leo live video, simba leo live 2022, simba leo zanzibar, simba leo usajili, simba leo kwa mkapa, simba leo anacheza saa ngapi, simba leo misri, simba leo live highlights, simba leo mazoezini, simba leo azam tv, simba leo anacheza na timu gani, simba leo al hilal, azam vs simba leo, al hilal vs simba leo, azam na simba leo, azam simba leo, azam tv live mechi ya simba leo, al hilal vs simba leo live, azam tv simba leo, azam tv magoli ya simba leo, simba leo bunju, simba biashara leo, simba leo singida big star, simba leo vs big bullets #live #simbasclive #simbascvsmtibwasugar Simba Sc vs Mtibwa Sugar 4-0 | Goli la Sakho | NBC Premier League -2022

Yanga SC 1 - 0 Simba SC | Highlights | Azam Sports Federation Cup 28/05/2022

1178887
4668
454
00:22:55
28.05.2022

Hekaheka za mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC iliyopigwa CCM Kirumba jijini Mwanza. Bao la Feisal Salum "Fei Toto" likiipa Yanga SC tiketi ya kucheza fainali jijini Arusha dhidi ya mshindi kati ya Azam FC dhidi ya Coastal Union.

Назад
Что ищут прямо сейчас на
AZAM VS SIMBA митя шаляпин fasm для начинающих faringe plex media server docker mod mobil polisi bussid Halima Ibragimova Anlelus Make Admin Panel in Laravel Kamp zabbix servicenow zòr grupo firme me muero Drössiger Oneduro mxd hevc codec premiere Когалым Beena Banerjee ilia averbukh тигнари