Simba vs Azam

Simba vs Azam смотреть последние обновления за сегодня на .

Azam 1-0 Simba | Highlights | NBC Premier League 27/10/2022

264537
1341
291
00:20:15
27.10.2022

Azam FC imevunja mwiko wa miaka sita baada ya kuifunga Simba bao 1-0 ukiwa ni ushindi wake wa kwanza baada ya mechi 11 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Goli lililoamua mchezo huu limetoka kwa Prince Dube dakika ya 35, akimtundika Aishi Manula kwa shuti la upinde...

Highlights | Simba SC 2-1 Azam FC | NBC Premier League - 01/01/2022

582025
1728
125
00:25:28
02.01.2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Simba SC ikinyakua pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC dimbani Benjamin Mkapa baada ya kushinda mabao 2-1. Mabao ya Simba SC yamefungwa na Sadio Kanoute na Pape Sakho Bao la Azam FC limefungwa na Rodgers Kola

SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC: MAGOLI YOTE: (NGAO YA JAMII: 17/8/2019)

3736775
8446
716
00:08:21
17.08.2019

Simba SC imetwaa NGAO YA JAMII kwa kuichakaza Azam FC kwa mabao 4-2 huku usajili mpya wa wachezaji wa Simba SC ukifanya vizuri. Shaaban Chilunda ameanza kuonyesha makucha yake kwa kufunga goli baada ya kurejea nyumbani akitokea Hispania. Mchezo ulikuwa LIVE Azam Sports 2.

Azam FC 2-3 Simba SC - Highlights

885875
2090
229
00:21:40
04.03.2020

Timu ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa leo (04/03/2020) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Erasto Nyoni, Deo Kanda na Medie Kagere wakati Azam wakijipatia mabao yao kupitia kwa Never Tigere na Idd Selemani Nado. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

AZAM FC 1-3 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 22/02/2019)

530308
1341
125
00:28:57
22.02.2019

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea kutafuna viporo vyao baada ya leo kuichapa Azam FC kwenye mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere aliyefunga mawili dakika ya 5 na 78, huku bao lingine likifungwa na John Bocco dakika ya 39. Goli pekee la Azam limefungwa na Frank Domayo dakika ya 81 huku bao lao lingine likikataliwa na mwamuzi.

Highlights | Simba na Azam walivyokabana koo na kutoka sare ya (2-2) VPL 07/02/2021

398968
870
156
00:29:10
07.02.2021

Simba na Azam wamekabana koo na kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Luis Miquissone pamoja na Luis Miquissone wakati Azam wakipata mabao yao kupitia kwa Idd Seleman 'Nado' pamoja na Ayoub Lyanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Simba yaupiga mwingi na kuilamba Azam 2-0 robo fainali ASFC - Tazama highlights

754877
2138
231
00:17:09
01.07.2020

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC , mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam sports uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco na Clatous Chama. Tazama highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Goli la Dube | Azam 1-0 Simba | NBC Premier League 27/10/2022

88872
632
95
00:01:48
27.10.2022

Azam FC imevunja mwiko wa miaka sita baada ya kuifunga Simba bao 1-0 ukiwa ni ushindi wake wa kwanza baada ya mechi 11 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Goli lililoamua mchezo huu limetoka kwa Prince Dube dakika ya 35, akimtundika Aishi Manula kwa shuti la upinde...

Mbeya City 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 23/11/2022

115394
599
130
00:18:14
23.11.2022

Simba SC imekabwa koo na Mbeya City kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Simba wametangulia kwa goli la Mzamiru Yassin dakika ya 15 na Mbeya City kuchomoa dakika ya 79 kupitia kwa Tariq Seif.

Highlights | Azam FC 0-1 Simba SC | Nusu Fainali ASFC 26/06/2021

251733
642
76
00:24:07
27.06.2021

AZAM VS SIMBA 0-1 : Tazama jinsi Simba walivyotinga fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa goli la maajabu kutoka kwa Luis Miquissone baada ya Bernard Morrison kuanzisha kwa haraka mpira wa kutenga (free-kick) dakika ya 89. Katika mchezo huu wa nusu fainali, Simba imeitandika Azam FC bao 1-0 kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Azam 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 18/05/2022

156800
766
97
00:18:05
18.05.2022

Simba na Azam wametoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, leo Mei 18, 2022. Azam wametangulia kwa bao la Rodgers Kola dakika 38, lakini Simba wakachomoa dakika ya 45 kupitia kwa John Bocco.

Magoli | Mbeya City 1-1 Simba | NBC Premier League 23/11/2022

105528
599
128
00:02:36
23.11.2022

Simba SC imekabwa koo na Mbeya City kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Simba wametangulia kwa goli la Mzamiru Yassin dakika ya 15 na Mbeya City kuchomoa dakika ya 79 kupitia kwa Tariq Seif.

AZAM FC (1) VS SIMBA SC (0) - LIGI YA NBC

134550
474
2
02:48:38
27.10.2022

Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : 🤍 Instagram : 🤍 YouTube : 🤍

Magoli yote Simba SC ikiichapa Azam FC mabao 2-1 |NBC PL -01/01/2021

464302
2216
194
00:08:49
01.01.2022

Tazama magoli yote wakati Simba SC ikinyakua pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC dimbani Benjamin Mkapa baada ya kushinda mabao 2-1 Mabao ya Simba SC yamefungwa na Sadio Kanoute na Pape Sakho Bao la Azam FC limefungwa na Rodgers Kola

MAGOLI YOTE: AZAM FC 1-3 SIMBA SC (TPL - 22/02/2019)

613155
1249
134
00:04:27
22.02.2019

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea kutafuna viporo vyao baada ya leo kuichapa Azam FC kwenye mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere aliyefunga mawili dakika ya 5 na 78, huku bao lingine likifungwa na John Bocco dakika ya 39. Goli pekee la Azam limefungwa na Frank Domayo dakika ya 81 huku bao lao lingine likikataliwa na mwamuzi. Tazama mabao yote.

Magoli ya Bocco na Chama | Simba 2-0 Azam - Robo fainali ASFC

34652
232
36
00:02:33
01.07.2020

Magoli mawili kutoka kwa John Bocco na Clatous Chama yametosha kuipeleka Simba nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kwa kuichapa Azam FC 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Azam FC 2-3 Simba SC | Magoli, utata wa penati na utata wa off-side - VPL 04/03/2020

399785
1273
345
00:08:50
04.03.2020

Mnyama Simba ameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Erasto Nyoni, Deo Kanda na Medie Kagere wakati Azam wakijipatia mabao yao kupitia kwa Never Tigere na Idd Selemani Nado. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Ruvu Shooting 0-4 Simba | Highlights | NBC Premier League 19/11/2022

177669
1219
194
00:20:28
19.11.2022

HAT-TRICK: Nahodha wa Simba, John Bocco amepiga #hattrick na kuipa timu yake ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague Bocco amefunga hattrick yake dakika ya 04', 18' na 69' huku goli lingine likifungwa na beki Shomary Kapombe.

FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC (NGAO YA JAMII 17/8/2019)

635015
1669
241
00:46:54
17.08.2019

Miamba ya soka nchini Tanzania, Simba SC na Azam FC zimemenyana vikali kwenye mchezo wa kuwania NGAO YA JAMII ikiwwa ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania. Kwenye mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam na kurushwa MBASHARA na #AzamSports2 Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 huku mabao yake yakifungwa na Shiboub (2) na wengine wakiwa ni Chama na Kahata. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Chilunda na Domayo.

SIMBA SC1-0 AZAM FC, VPL FULL HIGHLIGHTS (07/02/2018)

234627
561
80
00:14:20
07.02.2018

Wekundu wa Msimbazi Simba wameibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu (VPL) uliopigwa leo kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam. Bao pekee la simba limefungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 37 ya mchezo.

Penati tatu za dhahabu zilizoinyanyua Simba na kuivua Azam Kombe la Mapinduzi

2579983
4425
344
00:07:26
10.01.2020

Simba SC wametinga fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2020 kwa mikwaju ya penati 3-2 dhidi ya Azam FC baada ya dakika 90 kumalizika bila bao na kuivua rasmi ubingwa Azam FC. Katika mechi hiyo ya nusu fainali iliyopigwa kwenye dimba la Amaan Zanzibar, Simba wamefunga penati zao kupitia kwa Erasto Nyoni, John Bocco na Jonas Mkude huku penati za Azam zikifungwa na Yakubu Mohamed na Bruce Kangwa. Waliokosa penati upande wa Simba ni Sharaf Shiboub na Medie Kagere zote zikipanguliwa na golikipa Razak Abalora, kabla yay eye mwenyewe Abalora kukosa penati yake iliyodakwa na Beno Kakolanya. Wengine waliokosa ni Idd Kipagwile na Donald Ngoma. 10/1/2020

Magoli | Ruvu Shooting 0-4 Simba | NBC Premier League 19/11/2022

172573
1250
166
00:04:56
19.11.2022

HAT-TRICK: Nahodha wa Simba, John Bocco amepiga #hattrick na kuipa timu yake ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague Bocco amefunga hattrick yake dakika ya 04', 18' na 69' huku goli lingine likifungwa na beki Shomary Kapombe.

Simba 2-2 Azam | Magoli yote na penati ya Chama | VPL 07/02/2021

386776
1506
311
00:08:20
07.02.2021

Simba na Azam wamekabana koo na kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Luis Miquissone pamoja na Luis Miquissone wakati Azam wakipata mabao yao kupitia kwa Idd Seleman 'Nado' pamoja na Ayoub Lyanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Magoli na kadi nyekundu | Simba 5-0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 30/10/2022

460243
2637
347
00:08:55
30.10.2022

Simba SC imeishushia kichapo kizito cha mabao 5-0 Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Pape Ousmane Sakho amefunga magoli mawili dakika ya 48 na 90 huku mengine yakitoka kwa Mzamiru Yassin dakika ya 38, Augustine Okrah dakika ya 63 na Moses Phiri dakika ya 73. Katika mchezo huo pia, wachezaji wawili wa Mtibwa Sugar Pascal Kitenge na Cassian Ponera walitolewa kwa kadi nyekundu kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana.

🔴#LIVE: AZAM FC(1) VS SIMBA SC(0) | MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO/NBC PREMIER LEAGUE..

32546
62
1
01:30:41
27.10.2022

🔴#LIVE: SIMBA VS AZAM | MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO/NBC PREMIER LE

Yanga 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 23/10/2022

774540
4110
618
00:23:19
23.10.2022

Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45.

Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022

662841
2793
187
00:06:18
19.06.2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. KMC wametangulia kupata bao kupitia kwa Hassan Kabunda dakika ya 41 kabla ya Simba kuchomoa kwa goli la Kibu Denis dakika ya 52, kasha Pape Sakho akaongeza la pili dakika 63 na Henock Inonga akafunga hesabu dakika ya 66.

Simba vs Azam UNYAMA 😂😂

1202
24
0
00:00:12
01.01.2022

🤍Wasafi Media 🤍Mpenja TV 🤍Chelsea Football Club 🤍UDAKU TV 🤍Cheka tu 🤍Millard Ayo 🤍Middle simba

Ruvu Shooting 0-7 Simba | Highlights | ASFC 16/02/2022

664972
2379
96
00:18:00
16.02.2022

RUVU vs SIMBA: Mabingwa watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation, Simba SC wameichaka Ruvu Shooting mabao 7-0 katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika ushindi huo Clatous Chama amepiga #Hattrick yake ya kwanza tangu kurejea Msimbazi, huku John Bocco akifunga mawili, Jimmyson Mwanuke moja na Ruvu Shooting wakajifunga moja.

🔴live: TAZAMA GOLI PRINCE DUBE AZAM vs SIMBA (1-0)(azam vs simba) live

29189
50
5
00:00:27
27.10.2022

azam vs simba live #azamvssimbalive #simbaleo #azamfc #simbasc magoli yote azm vs azm simba vs azam,azam vs simba live,azam vs simba,simba sc,#live: azam fc vs simba sc,yanga sc vs simba sc live azam tv,simba,azam na simba live,azam vs simba 1-1,simba na azam live,yanga vs simba live,azm fc 1 vs simba 0 live,azam fc vs simba sc,simba na yanga,simba vs azam nbc,yanga sc vs simba sc,yanga sc vs simba sc live,yanga sc vs simba sc live stream,yanga sc vs simba sc leo live,simba leo,yanga sc vs simba sc watch live,azamtv,simba live leo azam vs simba,magoli,simba,azamtv,simba sc,magoli yote azam vs simba,yanga vs simba,azam vs simba 1-1,magoli yote simba vs azam fc,magoli yote simba vs azam fc leo,azam vs simba live,live azam vs simba,azam vs simba leo live,magoli yote ya azm vs simba leo,azam vs simba live azam tv online,azam fc,magoli simba vs azam,magoli yote yanga sc vs simba sc,yanga sc vs simba sc live azam tv,magoli yote ya simba sports club dhidi ya azam cc azam fc,simba vs azam,azam vs simba,simba sc,azam vs simba 1-1,simba sc na azam fc 1-1,azam vs simba live,simba sc vs azam fc,azamtv,magoli yote simba vs azam fc,magoli yote simba vs azam fc leo,simba,highlights azam fc vs simba sc,simba vs azam leo,magoli simba vs azam,azam vs simba asfc,azam,msemaji simba,simba na yanga,highlights simba vs azam,mashabiki simba,azm fc vs simba leo,kosakosa azam vs simba,azam tv,goli la azam vs simba

Simba SC 4-1 Mbeya City | Highlights | VPL 22/06/2021

837808
2321
86
00:21:00
23.06.2021

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/11/2022

113837
571
79
00:18:45
09.11.2022

Simba na Singida Big Stars wamekabana koo na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Liti mkoani Singida. Deus Kaseke ndiye aliyeitanguliza Singida kwa goli la dakika ya 11 lakini Simba wakapata moto kipindi cha pili na kuchomoa bao dakika ya 59 kupitia kwa Peter Banda.

GOLI LA AZAM WAKIICHAPA SIMBA DUBE ALITAKA KUMUUA MANULA AZAM (1-0) SIMBA HAWAAMINI MACHO YAO

31136
56
24
00:02:41
27.10.2022

#SimbaSc #Simba #AzamaFc #AzamVsSimba #SimbaVsAzam

Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 30/10/2022

297983
1551
176
00:19:33
30.10.2022

Simba SC imeishushia kichapo kizito cha mabao 5-0 Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Pape Ousmane Sakho amefunga magoli mawili dakika ya 48 na 90 huku mengine yakitoka kwa Mzamiru Yassin dakika ya 38, Augustine Okrah dakika ya 63 na Moses Phiri dakika ya 73. Katika mchezo huo pia, wachezaji wawili wa Mtibwa Sugar Pascal Kitenge na Cassian Ponera walitolewa kwa kadi nyekundu kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana.

Yanga 2-2 Azam | Highlights | NBC Premier League 06/09/2022

384554
1762
231
00:22:09
06.09.2022

Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77. Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.

MASHABIKI WA SIMBA WACHARUKA KISA KUFUNGWA NA AZAM

46178
269
161
00:05:10
27.10.2022

Telegram: 🤍 Subscribes:🤍 Instagram: 🤍 Facebook: 🤍 Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii 🤍

UCHAMBUZI WA OSMAN KAZI MWAMUZI MSTAAFU/AZAM FC VS SIMBA SC/AZAM WALIKUA BORA SANA

4748
29
6
00:08:46
27.10.2022

Leo October 27 ,2022 Unashuhudiwa Mchezo wa Mzizima Dabi Baina ya Azam FC Dhidi Ya Simba SC Mchezo Unaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Kuanzia Majira ya Saa 07:00 Usiku Timu Nzima ya Mpenja TV Imekita Kambi Hapa Dimba la Benjamin Mkapa Kukusogezea Kila Nukta ya Jambo Linalojitokeza Katika Mzizima Dabi #MpenjaTV #MzizimaDabi #AzamVSSimbaSC #SimbaSC #AzamFC

Назад
Что ищут прямо сейчас на
Simba vs Azam jazz sample Davinci resolve plugin mahfuz shafi dj one day viral Imabbon d reaper desa pelacur lumberjack wood mosaic птицы xbox series s x pc Proxywolf african safari ragnarok farm ark facebook page likes hacks chz arizona rp phoenix ловля Қазақстан телеарнасы Lyreacrompane